Magorofa yote Tanzania yakaguliwe

Magorofa yote Tanzania yakaguliwe

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Hizi ajali zinatokanna na kuwa na mafundi uchwara ambao hawafuati maelezo ya egineers. Kupunguza cement, nondo chini ya kiwango na vitu vingine vingi. Lakini ukijenga Gorofa inabidi uwe na engineers wa kukagua. Usikofanya usimamizi mzuri utajuta. Serikali kwa sasa waweke ukaguzi kabla ya majengo mengine kuanguka. Hata USA mji wa Miami kulitokea hili

 
Hizi ajali zinatokanna na kuwa na mafundi uchwara ambao hawafuati maelezo ya egineers. Kupunguza cement, nondo chini ya kiwango na vitu vingine vingi. Lakini ukijenga Gorofa inabidi uwe na engineers wa kukagua.
Wewe ulikuwa hujazaliwa,lilipoanguka gholofa la Chang'ombe village kule keko ,magholofa yote yalikaguliwa

Gholofa lilivyopolomoka kariakoo Hadi ikakodiwa kampuni kutoa Africa kusini ili kulibomoa ,ulikuwa bado tumboni?
 
Unataka kuandaa tume ya ukaguzi muanze kupiga per deim?
 
Back
Top Bottom