Bandabichi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 230
- 42
Mkuu Bandabichi Mkuu Hujatuambia unafanya mazoezi gani? Je unapiga Punyeto? Je umesha wahi kwendaHa ina maana watalamu leo wapo w/end mbona ni kinyume na professional yenu.
bibie Blaki Womani Nimeshamjibu huyu Bandabichisubiri MziziMkavu aje
Mkuu Bandabichi Mkuu Hujatuambia unafanya mazoezi gani? Je unapiga Punyeto? Je umesha wahi kwenda
Hospitali kumshitakia Daktari matatizo yako?Je yanavyouma hayo magoti umesha wahi kutumia dawa gani? Je usipofanya
hayo mazoezi je magoti yako pia yanauma?Jaribu kwenda Hospitali kumuona Daktari kisha uje hapa utueleze unaendeleaje asante.
bibie Blaki Womani Nimeshamjibu huyu Bandabichi

Bibie Blaki Womani Sio kamanimeona je mambo ya bamia mbichi kwa siku 14
Mkuu Bandabichi mimi ninakupa Dawa hii uitumie kwa siku kama 14 utaona matokeo yake Fanya hivi :Kaka naamka asubuhi nafanya jogging kama kilomita tano hivi.
Bibie Blaki Womani Sio kama
dawa hazipo ila tunataka kila Mtu anaye umwa kwanza aende Hospitali kuangalia na kupimwa ili ijulikane ni kitu gani
kinacho msumbuwa yeye anasema magoti anaumwa inawezekana kuna matatizo mengine yaliyojificha ndani ya mwili wake
yeye mwenyewe hajuwi ni kitu gani zaidi ya kujuwa magoti yake ndio yanayomuuma tu? Tunataka tujuwe chanzo cha
maradhi ndipo tunaweza kujuwa tumpe dawa gani bibie. Au unasemaje? Ushauri wangu vipi haufai? Hospitali
zimetengenezwa kwa ajili ya Wagonjwa binadamu sio Wanyama akiogopa Mtu kwenda Hospitali akija hapa kwanza shauri
yake kuna watu humu ndani wanatoa ushauri mbaya anaweza kuzidisha maradhi yake badala ya kupona.
bbie Blaki Womani atumie mpaka atakapo pona tu hata kama miezi 3 pia itatosha.je kwa mtu mwenye tatizo hilo kwa muda mrefu anatakakiwa kunywa kwa muda gani?
bbie Blaki Womani atumie mpaka atakapo pona tu hata kama miezi 3 pia itatosha.