Uchaguzi 2020 Magreth Sitta anaenda bungeni kufanya nini?

Ni kwa magreth sita au kwa wabunge wote waliokaa muda mrrefu?
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Anataka bunge lihamie kule mumewe aliishia kujenga Bunge dogo
Just curious! Lile jengo lilikuwa la serikali au ilikuwa mali binafsi!
Hii nchi ina vituko balaa
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Kugombea nafasi za kisiasa ni uraibu kama uraibu mwingine tu.
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
mi mpaka sasa sielewik nimemuona sura nikawa namkumbukA SASA nakuja kujua ni mama sita nikasema huu ni upuuzi anataka ubunge wa nini?
nikakumbuka pia mama Kikwete unagombea nini na kukuna nazi wakati mumeo unaye mstaafu na maslahi yenu 80 percent mnalipwa.
waacheni vijana watuletee vitu vipya
 
Nafikiri kama tunataka seriously kuchuja wagombea dizain hii ni kupunguza posho na zingine kufuta kabisa..
Ikiwezekana mbunge na katibu wizara na DC wasiwe tofauti kimshahara na posho
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Kuongeza idadi ya wabunge.
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Yule mama sijawahi ona impact yake jamani..hivi hawaoni hata aibu jamani mbwa Hawa!
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Huyo unamuonea tu ni mjane, anakwenda kutafuta riziki ya kujikimu.

Maajabu yapo jimbo la Mchinga, Salma Kikwete Mungu amenyima nini?

Kama Watanzania wangekuwa wanajitambuwa hawa wamama wawili ni wa kupigwa chini ili wakajifunze busara kwanza.
 
Dah GT, kwa huyu mama tumuache aende bungeni hadi achoke. TusiMuonee na kumuandama. She's so humble and innocent she can't even hurt a fly.

Mungu amjalie maisha marefu na afya njema.

Amebadilisha Nini kwenye jamii yetu
 
Hii ndio Africa ila ipo siku hili bara litaamka tu ..katiba nyingi ziko outdated na zinawafavor hao wajiitao watawala ndio maana zikitaka kubadiliwa inakua kama umetia chumvi kwenye jeraha
 
😳😳😳😳 Hii inasaidiaje wananchi wa ulambo? Mi nadhani kwa mahusiano ni jambo zuri ila kwa maendeleo tunataka mtu ambaye atayasababisha. Je ulambo kasababisha maendeleo gani?

Dah GT, kwa huyu mama tumuache aende bungeni hadi achoke. TusiMuonee na kumuandama. She's so humble and innocent she can't even hurt a fly.

Mungu amjalie maisha marefu na afya njema.
 
Huyo unamuonea tu ni mjane, anakwenda kutafuta riziki ya kujikimu.

Maajabu yapo jimbo la Mchinga, Salma Kikwete Mungu amenyima nini?

Kama Watanzania wangekuwa wanajitambuwa hawa wamama wawili ni wa kupigwa chini ili wakajifunze busara kwanza.
Kuna wanawake hawafai hata kuitwa wajane...huyu mumewe kafa lakini uhakika wa maisha upo..si ana mtoto mkubwa tu huko....atupishe ziingie damu changa
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Wapiga kura jimboni kwake wanajua kile atakachokwenda kufanya bungeni, waachie wao. Kama wanaona anawafaa, watamruhusu, na kama hawafai, hawatamruhusu
 
Nafikiri kama tunataka seriously kuchuja wagombea dizain hii ni kupunguza posho na zingine kufuta kabisa..
Ikiwezekana mbunge na katibu wizara na DC wasiwe tofauti kimshahara na posho
Ile milioni 200+ ndo inawatoa roho,bashite akaingia chonjo na katoswa sasa Huyu prezidaa wetu namjua sasa hivi utaskia "wabunge mkimaliza mda wenu mtapewa 200 mukakae kwenu mulee watoto"
Kikwete anamnadi kabisa mkewe awe mbunge sijui saa ngapi watahudumiana πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
KUWAKILISHA WANANCHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…