Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Linahitaji kiongozi serious na courageous. Utapitishia wapi mswada wa kubadili hayo?Nafikiri kama tunataka seriously kuchuja wagombea dizain hii ni kupunguza posho na zingine kufuta kabisa..
Ikiwezekana mbunge na katibu wizara na DC wasiwe tofauti kimshahara na posho
Kwa mila zake kupiga goti ni kawaida na wajibu! Bunge ni mchanganyiko maalum (composition) linalowakilisha maslahi (interests ) za makundi hayo. Bunge haliwezi kuwa la vijana, wazee, wanawake, walemavu, la saba,Profesa , wageni tu au wazoefu tu nk peke yao. Mama sita ,mimi na wewe tunayo haki sawa ya kuchagua na kuchaguliwa kuwa viongozi.Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Kuna watu ni walafi wa Madaraka hadi wanakera.mihela yote aliyojikusanyia tangu Binti hadi kawa bibi Yumo tu.Hongera JPM kwa kuwakata chenge na wasira hongera tibaijuka kwa kujitambua.Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Mpeni Mbunge ili aweze kujikimu yeye na Familia yake..Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Tanzania siasa ni ajira,huoni watu walivyo tayari hata kutoa uhai wa watu ili wapate nafasi za kisiasa?Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Anaenda kuwa master of the game ktk kuandaa njia za kupita wanae wajukuu na vitukuu... Kila kitu mipangoHuyo unamuonea tu ni mjane, anakwenda kutafuta riziki ya kujikimu.
Maajabu yapo jimbo la Mchinga, Salma Kikwete Mungu amenyima nini?
Kama Watanzania wangekuwa wanajitambuwa hawa wamama wawili ni wa kupigwa chini ili wakajifunze busara kwanza.
Yaani CCM buana! Magreth Sitta naye damu mpya..Nchi ina wenyewe hii
Wengine walishinda kura za maoni ila wamekatwa sababu wawapishe damu mpya,
Damu mpya zenyewe ndio hizo kina Magreth Sitta.
Pengine afadhali ya huyu bibi. Mimi nilipobakia najiuliza maswali bila majibu ni Mama First Lady Mstaafu Salma Kikwete, yaani na heshima na mafao yanayoambatana na ustaafu wa Rais na first lady unajiuliza kwa nini atamani kujishusha kwenda kushinda Dodoma akisuguana mabega na akina kibajaji na kupiga mbao kuunga mkono juhudi? Ni kitu gani ambacho alipokuwa First Lady hakuweza kutumia influence hiyo na sasa anaona ndio anaweza? Hiyo nafasi si angemwachia mCCM mwingine hata kwenye ukoo wake hapo Lindi kwenye lindi la ufukara naye akainuka kwa kujipatia hayo mamilioni?Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Urambo si ulamboKuna jamii zinaabudu familia Fulani. Ulambo Ni Kama Pwani. Tabia zao moja
Kigoma Malima , Mwinyi, Turky
Kuna watu hawanielewiNimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Na hii ndio kitu waCCM na MATAGA yao hawaelewi unapowaambia tatizo la ufisadi wa Tanzania si Lowassa & Co, bali ni mfumo wa utawala. Mfumo wenyewe ni fisadi (wizi wa pesa za walipa kodi ambao umehalalishwa kwa kutungiwa sheria na watawala = kleptocracy), na kwa mantiki hii maamuzi mengi ya Magufuli ni ufisadi (mfano, CIA, ndege za atcl, nk). Malipo na mafao ya wabunge ni aina nyingine ya ufisadi uliokubuhu. Mbunge analipwa mabilioni na mabilioni kwa miaka kumi, kumi na mitano lakini jimboni mwake wananchi wanakunywa maji ya vidimbwi, watoto wanakaa sakafuni kusoma, nk. Na kila baada ya miaka mitano mtu huyo huyo anarudi kuomba kura. Sasa hakuna namna nyingine yo yote ile ya kuuondoa huu ufisadi bila kubadilisha mfumo, na njia ya kubadilisha mfumo ni Katiba Mpya, na kwa hakika katika hili tuliishapiga hatua - Rasimu ya Warioba. Inahitaji ujasiri tu wa waTz kukubaliana turudi pale tulipopumzikia na kuendelea na safari. Ninafurahi sana kuona TAL analisisitiza jambo hili. Bahati mbaya ni wachache wanamwelewa.Ile milioni 200+ ndo inawatoa roho,bashite akaingia chonjo na katoswa sasa Huyu prezidaa wetu namjua sasa hivi utaskia "wabunge mkimaliza mda wenu mtapewa 200 mukakae kwenu mulee watoto"
Kikwete anamnadi kabisa mkewe awe mbunge sijui saa ngapi watahudumiana 🤷♂️
mbona unauliz maswali ya kijinga?Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...