Haemolytic disease of a new born ndio ugonjwa au tatizo ambalo linaweza mpata mtu au wazazi wenye magroup ya damu yenye rhesus eg 0,A,AB+ve pale wanapo mate na wasio na rhesus yan 0,A, AB- tatizo lina kuwa kwnye Autoimmune system antibody kama IGg zinakuwa zina cross placenta kwakuwa ni ndogo zina uwezo wa kupita ivyo zina kwenda haribu mimba.
Mara nyingi mtoto wa 1 huzaliwa vzr ila wanao fuata ndo huwa mimba zinakuwa zina toka zote.
Kipi chakufanya: ni vzur wazazi wote kujua ma group yao ya damu kabla yaku chukua jukumu laku pata mtoto, pia iwapo mama atajulikana ana hilo tatizo zilo sindano zaku zuia huchomwa baada yaku jifungua kuzuia hyo hypesentivity.