Magroup ya damu na uzazi

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Wana JF nina group la damu AB(-ve).Je nikiolewa au kuoa mtu mwenye group zingine A,B,O,AB lakini ziwe positive kuna madhara gani?Naombeni weledi mnipe shule na kwa faida ya wote.Huwa tunaoa na kuolewa kwa kubahatisha tu
 
Haemolytic disease of a new born ndio ugonjwa au tatizo ambalo linaweza mpata mtu au wazazi wenye magroup ya damu yenye rhesus eg 0,A,AB+ve pale wanapo mate na wasio na rhesus yan 0,A, AB- tatizo lina kuwa kwnye Autoimmune system antibody kama IGg zinakuwa zina cross placenta kwakuwa ni ndogo zina uwezo wa kupita ivyo zina kwenda haribu mimba.

Mara nyingi mtoto wa 1 huzaliwa vzr ila wanao fuata ndo huwa mimba zinakuwa zina toka zote.

Kipi chakufanya: ni vzur wazazi wote kujua ma group yao ya damu kabla yaku chukua jukumu laku pata mtoto, pia iwapo mama atajulikana ana hilo tatizo zilo sindano zaku zuia huchomwa baada yaku jifungua kuzuia hyo hypesentivity.
 
Njia nzuri (hii ni siri ya wazee nakumegea) angalia alama (mistari iliyo jichora yenyewe) ndani ya viganja vya mikono kama imefanana "oaneni" ila kama imetofautiana sana "temaneni"
 
Shukrani kwa shule hii je kitakwimu kwa hapa kwetu TZ watu wa negative wapo wengi?Nauliza hivyo maana ni aghalabu kusikia hawa watu
 
Shukrani kwa shule hii je kitakwimu kwa hapa kwetu TZ watu wa negative wapo wengi?Nauliza hivyo maana ni aghalabu kusikia hawa watu
Kutoa takwimu siwez maana siku hizi hosptal kuna kitengo cha damu salama zaman ilikuwa haematology) ndo wana shughlika na ilo swala.

Ila kwa haraka haraka watu wa rhesus - au kwa lugha nyepes wasio na rhesus ni wachache sana sidhan kama wanafka 10%.

Mm binafsi nme waonaga 3 tu ad leo na wote walikuwa 0- na A-.

Pia kuna factor zinazo changia mtu kuwa - akienda pimwa mahabara lakn ki uhalisia unakuta ni +ve.
 
Ahsante definition
 
Wana JF nimeona nipitie huku nipate michango zaidi.

Nina mchumba wangu ana group la damu AB(-ve) mimi nina AB(+ve).

Je nikimuoa kuna madhara yeyote kwenye uzazi wetu?
 
Reactions: Lee
Wana JF nimeona nipitie huku nipate michango zaidi.

Nina mchumba wangu ana group la damu AB(-ve) mimi nina AB(+ve).

Je nikimuoa kuna madhara yeyote kwenye uzazi wetu?
Tatizo linaweza kutokea endapo Mungu akiwajalia mkapata chata tenu aka mtoto na mtoto akawa na damu ya group lako nikimanisha rhesus + lakini tatzo linakuja hasa endapo damu ya mama na mtoto ikachanganyika ...jambo hili litaleta impacts kubwa kwa mimba inayofuata make tena impacts kubwa ....japo mimba ya kwanza itakuwa safe
 
Vizuri mkuu umefafanua vizuri

Hili jambo ni muhimu sana kulijua sana kwenye jamii zetu make wengi walikuwa wanakimbilia eti wanarogwa na wanafamilia kisa mimba kutoka kwa mambo ya kutofautiana rhesus ila wao hawajui kuwa inaweza kuwa chanzo

Note :RhoGAM (Anti Rh immune globulin akipatiwa hasa kipindi cha gestation na pia zile saa 72 kabla ya kunifungua inasaidia sana kupunguza hizi risk
 
Wana JF nina group la damu AB(-ve).Je nikiolewa au kuoa mtu mwenye group zingine A,B,O,AB lakini ziwe positive kuna madhara gani?Naombeni weledi mnipe shule na kwa faida ya wote.Huwa tunaoa na kuolewa kwa kubahatisha tu
Wewe Mzee meko ni shoga? Tuanzie hapo.
 
Wewe Mzee meko ni shoga? Tuanzie hapo.
Mdomo wa Bata ushoga na Macacus Rhesus factor vina uhusiano gani?.Najua hujaelewa neno Macacus Rhesus factor hapa sio mzaha uzi huu ni kuelimishana haya matatizo yako ndani ya jamii hata wewe yanaweza kukukumba.Tunajaribu tafuta weledi tusije singizia kulogwa.
 
Ahsante Lyon Lee
 
Reactions: Lee
pamoja sana kiongoz!
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…