Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
sina hata mafua mkuu nipo fiitiLabda una malaria
upo dar?Labda una malaria
sijui mikoani pakojeni kweli mwaka huu hali ya hewa ipo kama ACT!haieleweki kabisa
njoo mkuu,leo nimeamua nilale uvunguniItabidi sasa tupeane joto ili mambo yakae sawa miss
upo dar?
ha ha haa,Sio mchezonjoo mkuu,leo nimeamua nilale uvunguni
ha ha haa,Sio mchezonjoo mkuu,leo nimeamua nilale uvunguni
dar ipi mkuu? mbona huku kwetu kila mtu analalamika baridi?Nipo dar ata sasa joto lipo tu, tena jioni ya sakumi ndo balaa
dar ipi mkuu? mbona huku kwetu kila mtu analalamika baridi?