Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Nzuri hii1. Magufuri won against corona, UKenyata failed.
2. Magufuri reduced dependency from westerners while Kenyata has increased budget dependency to the western
3. Magufulu never failed to pay emoluments to workers of the land, Uhuru failed
4. Magufuri awakened ATCL but Uhuru is continuing killing KQ
5. Magufuri has ensured food security in the land, Kenyata raia wake wanakufa njaa.
Niendelee?
Mbona yeye hujaweka achievement zake?
Education Background ni Economics, political science and government or governance?
Ongea tu kigikuyu sababu kiswahili hujui English hujuiWhy are concerned with matters concerning Kenya,Nyinyj wenyewe Ni maiti kwenye nchj yenu Sasa ya Kenya ndio utaweza
Hahahaha #PlayKenyaMusic ππππTanzanians can't stop thinking about Kenya.
View attachment 1557754
yaani pamoja na kuvuna 3m tons of rice while wafa njaa wakizalisha 200k lakini bado Tanzania inazidi kupanua kilimo chake zaidi cha mchele, juzi tumepokea tena pesa nyingi kwa ajili ya kujenga mradi mkubwa sana wa irrigation kwenye eneo la hectares 3000 karibu acres 7000 za mpunga
Don't EVER compare Kenyatta with Dickhead plzGuys is the Time to check our presidents what they did since they took the throne.
Ninapenda niandike kwa kiswahili. Kwamba hawa maraisi was nchi hizi mbili jirani wamefanya nini tangu waingine madarakani!?
Tutaangazia masuala ya:-
1. Kijamii
2. Kiuchumi
3. Miundombimu
4. Kisiasa
5. Kielimu
6. Kiafya
Na mambo mengine ambayo yanachangamsha maendeleo.
Ninawakaribisha wote tuchangie kwa facts, picha, takwimu na maelezo bila matusi.
Asanteni.