Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ameahidi kufanya Kituo cha Afya cha Mwanga kuwa hospitali ya Wilaya.
Kwa sababu hiyo kutakuwa na hospitali mbili za wilaya ambayo amesema wilaya hiyo ina hospitali ya wilaya ambayo iko Usangi.
Amesema hakuna ubaya kwa wilaya moja kuwa na hospitali za wilaya Mbili, kwa hiyo zote zitakuwepo na kutibu watu wote.