joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwa kile kinachodhihirisha kwamba Magufuli ndio rais bora kwa sasa hapa Afrika, kama ambavyo vyombo mbalimbali vya kimataifa vimesema hivyo, rais Magufuli ameanza kuifanya Kazi yake ya kuwafundisha marais wengine wa Afrika ambao wanaonekana kutotimiza wajibu wao badala yake wanazunguka na kutangatanga duniani bila malengo yoyote.
Ukimaliza kusikiliza hii video, tafadha toa pendekezo lako, ni rais nani angestahili kupewa hili somo baada ya Museven?.