joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Magu alivyo enda Nairobi, wakati wanapata dinner na viongozi waandamizi wa Kenya. Alivyo enda kutoa hotuba fupi, alisema "Kenya mko vizuri sehemu nyingi, mnaweza kufanya vizuri zaidi ila Kinacho waangusha ni ukabila". Dah, yani ukumbi ulipooza kama jini kapita. Magu ni mkweli sana, hajui kupindisha maneno. Nina amini hamna na haito tokea mtu (Raisi) akawa ambia ukweli wa Kenya kama Magu siku ile. Hii ikanikumbusha Nyerere na yeye alikuwa anawachana ila akitumia masikhara akawabatiza jina la Manyang'au.
Kwa kile kinachodhihirisha kwamba Magufuli ndio rais bora kwa sasa hapa Afrika, kama ambavyo vyombo mbalimbali vya kimataifa vimesema hivyo, rais Magufuli ameanza kuifanya Kazi yake ya kuwafundisha marais wengine wa Afrika ambao wanaonekana kutotimiza wajibu wao badala yake wanazunguka na kutangatanga duniani bila malengo yoyote.
Ukimaliza kusikiliza hii video, tafadha toa pendekezo lako, ni rais nani angestahili kupewa hili somo baada ya Museven?.
Nyie nanyi mko vizuri ila mnapenda kuabudu binadamu. Mungu pekee ndiye aogopweMagu alivyo enda Nairobi, wakati wanapata dinner na viongozi waandamizi wa Kenya. Alivyo enda kutoa hotuba fupi, alisema "Kenya mko vizuri sehemu nyingi, mnaweza kufanya vizuri zaidi ila Kinacho waangusha ni ukabila". Dah, yani ukumbi ulipooza kama jini kapita. Magu ni mkweli sana, hajui kupindisha maneno. Nina amini hamna na haito tokea mtu (Raisi) akawa ambia ukweli wa Kenya kama Magu siku ile. Hii ikanikumbusha Nyerere na yeye alikuwa anawachana ila akitumia masikhara akawabatiza jina la Manyang'au.
AmeenNyie nanyi mko vizuri ila mnapenda kuabudu binadamu. Mungu pekee ndiye aogopwe
Sisi tuliwacha kuabudu binadamu enzi za Moi.
Kwa kile kinachodhihirisha kwamba Magufuli ndio rais bora kwa sasa hapa Afrika, kama ambavyo vyombo mbalimbali vya kimataifa vimesema hivyo, rais Magufuli ameanza kuifanya Kazi yake ya kuwafundisha marais wengine wa Afrika ambao wanaonekana kutotimiza wajibu wao badala yake wanazunguka na kutangatanga duniani bila malengo yoyote.
Ukimaliza kusikiliza hii video, tafadha toa pendekezo lako, ni rais nani angestahili kupewa hili somo baada ya Museven?.
Ninyi mlikua mbalazimishwa kufanya hivyo, ila sasa hivi kwa Magufuli sio watanzania tu wanaompenda na kumsifu, karibu Africa nzima inamsifia, fuatilia video zake na usome comments chini ndio utajua Magufuli sio wa karne hii.Sisi tuliwacha kuabudu binadamu enzi za Moi.
Angalia hii video, kisha usome comments jinsi wakenya wanavyomsifia na kumkubali Magufuli, ni zaidi ya watanzania.https://youtu.be/WRxLvNpDpIsSisi tuliwacha kuabudu binadamu enzi za Moi.
Waķenya wengine bado wanataka leader strong dictator. Bado wanamiss Moi lakini ole wao enzi hio ilishapita.Angalia hii video, kisha usome comments jinsi wakenya wanavyomsifia na kumkubali Magufuli, ni zaidi ya watanzania.https://youtu.be/WRxLvNpDpIs
Hapo nimekutajia wakenya, ila karibu raia wote wa Africa wanamtamani Magufuli. Hivi katika hali ya kawaida, matendo anayofanya Magufuli, kama hilo katika hiyo video, utaacha kumkubali?. Ukweli lazima tuuseme, "Magufuli is the best president in Africa" kwa sasa.Waķenya wengine bado wanataka leader strong dictator. Bado wanamiss Moi lakini ole wao enzi hio ilishapita.
Nyie nanyi mko vizuri ila mnapenda kuabudu binadamu. Mungu pekee ndiye aogopwe