Magufuli ainyang'anya tena Kenya fursa, kama alivyofanya katika bomba la Uganda.

heheeee...kumbe atachukua walimu wa tanzania pia..nafikiria kawaacha wakenya...bwahahaa
 
Nimefurahi Mr President Kampa na vitabu vya kiswahili vilivyoandikwa Chuo Kikuu cha DSM [emoji23][emoji23][emoji23]
Ikiwemo kamusi kutoka TUKI

Ahaaa haaa haaa
Tanzania is a centre for Kiswahili.
 
Hongera JPM,

Tulisema humu kuwa MoU ni karatasi tu mpaka hapo utakapo sign a PSA ndio uanze kushangilia...

Bao hili la mkono halina tofauti na lile la Bomba la mafuta na SGR....
Nilishangaa kuona Magufuli anaenda kuhudhuria sherehe wakati sio kawaida yake, tena alitumia Airbus ya Air Tanzania, kumbe alikua yuko katika "mission " maalumu ya kuyachinja tena Nyang'au, ama kweli Magufuli ni kiboko ya wakenya. Kumbe Airbus yote ili alijaza vitabu vya kiswahili kuwapelekea wazulu na Xosa wajifunze lugha yetu hadhimu ya kiswahili. Magufuli hoyeeeeeeeeee.
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ni Mpambanaji Anajua Kila Siku Anasikia Wanayoyataka Watanzania
Aah wapi, kazi kuiga tu, mbona hizi fursa zilikuwepo kabla ya Kenya kuzichangamkia? Kenya ndio baba yao A.M. tukifanya lolote mnafatilia kwa umakini wa hali ya juu ili mjifunze. Hamna idea, mpo mpo tu.
 
Kwa JPM tutayaona mengi, ushawishi wake ni mkubwa sana kutokana na sifa aliyojijengea, ni mtu anayeaminika kwa utekelezaji bila masihara,

Bigup kwa Mzee wa Msoga pia kwa kuhakikisha kuwa JPM anakwenda RSA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…