Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Asante hayati rais Magufuli kwa kutuachia wosia wa kuacha hofu na kumtegemea Mungu kwa kila jambo.
Kimbunga Jobo na Corona wamekiona cha mtema kuni Tanzania.
Alikuwa ana nafasi nzuri ya kuiletea nchi maendeleo bila kufungamana na maovu. Pemgine ni masharti ya mganga na Zile jumuia za Siri zilimlazimisha afanye vile. Kuna wakati ulikuwa unajiuliza hivi huyu mzee anafaidikaje na mfumo huu?Tatizo moja tu ambalo Hayati Magufuli alikuwa nalo ni kupenda chama chake cha siasa CCM kuliko nchi ya Tanzania. Hii ilisababisha sana yeye kuangalia maslahi ya chama bila kujali maafa yake kwa taifa na nitatoa mifano michache
1. Kitendo cha kutumia usalama wa taifa kuchunguza wanasiasa wa upinzani ni kusaidia CCM lakini haijanufaisha taifa. Hii imefanya mpaka sasa watu kutokuamini usalama wa taifa badala yake wanaona ni kama chombo cha kisiasa zaidi kuliko kitengo cha usalama wa nchi
2. Kitendo cha kuzuia mikutano ya siasa bila sababu ya kimsingi ya kikatiba nayo imeweka dosari kubwa sana kwenye taifa na kuweka fikra kwa viongozi wajawo wasiheshimu sheria. Huwezi kuwa Raisi wa nchi halafu ukatumia madara yako kufanya vitu vya kunufaisha upande wa chama chako pekee. Msingi wa katiba ni ushindani wa hoja na uchaguzi huru na kama ukiondoa upinzani ni sawa na kukatalia katiba ambayo wewe mwenyewe umeapa kuilinda.
3. Kitendo cha wanasiasa wa wapinzani kupigwa risasi, kubambikwa kesi na hata wengine kupotea. Nchi kama Tanzania na usalama wake huwezi kupigwa risasi bila watu wa usalama kujua! Hii wala halina mjadala Hayati Magu aliweka mbele chama kuliko taifa. Vilevile walishidwa hata kutoa ushahidi wa wale waliopigwa risasi kama kweli walikuwa wanahatarisha taifa! Huwezi kuagiza au kuruhusu watu wauliwe kwasababu tu ni wa vyama pinzani . Hii ni kujali chama zaidi ya taifa.
4 Uchaguzi wa serikali za mitaa na wa mwaka 2020 usalama wa taifa waliutaifisha. Huwezi kitendo cha kuweka wabunge karibu wote wa CCM kwa kuiba na kubadilisha kura bila kujali nchi au hata wananchi kwa manufaa ya chama sio sawa. Mpedwa wetu alikosea hapa na Mungu amsamehe.Sasa kama mbinu ilikuwa kuongezewa muda wa Uraisi Mungu hakutaka hivyo. Na Hii ndiyo maana ni muhimu kufuata misingi na haki maana huwezi kujua kama utakuwepo!
Kuna mengi kafanya mazuri lakini kwenye siasa mpedwa wetu alikosea sana.
Mama ameona hii na ata jaribu kujali nchi kuliko chama hata kama akipata maadui ndani ya chama ilimradi Mtanzania anaendelea
Mungu anaipenda sana Tanzania. Wacha Mungu ?tuliomba usiku na mchana.Dah yule mzee alikuwa katili sana aisee na alikokuwa anatupeleka ndo kulikuwa kubaya zaidi. Baada tu ya kuulawiti uchaguzi 2020 akajipitisha kwa kishindo nilikata tamaa kabisa nikaamini kwa 100% kuwa anaenda kuilawiti katiba atawale (si kuongoza) milele! Pia ishu ya mishahara kwa watumishi (ambao katutesa kupita maelezo), kilichokuwa kinafuata ni kuanza hata kupunguziwa kabisa!
As a human sikufurahia kutoka kwake madarakani kwa kifo, lakini kuna furaha ya uhuru na amani ilinishukia automatically! Nafikiri Mungu aliamua kuingilia kati aisee. Dah mzee alikuwa katili sana yaani!!!
He is rotting in hell nowJiwe aende kuzimu moja kwa moja bila kupingwa.
Atake asitake tutamwongezea adhabu za jehanamu
Alikuwa anaona mbona M7 yeye anafanya ushetani na hafi😅😅Alijua ukiwa Rais haufi
Awe kuni kabisa za moto wa jehanamHapo kwenye kumuombea msamaha eti MUNGU amsamehe hapana kwakweli AHUKUMIWE TU kwa matendo yake mabaya aliyofanya katika uongozi wake
Na ikiwa itatokezea mizani ya mazuri yake itazidi mabaya basi afunguliwe mlango wa PEPO (hili ni gumu kwa sababu alukusudia kutoa uhai wa watu wengi. Kwa misingi ya dini karibu zote kuua binadamu mwenzio halina msamaha)
Ila ikitokea mabaya yakizidi mazuri hapana kwakweli MOTO wa JEHANAMU unamuhusu
Tena hawa walionufaika fala mwingine hata ubalozi wa mtaa hana anatetea shetani maguPorojo za ukweli lakini na wewe unajua kama ni za ukweli basi tu unajitia wazimu na kujitoa ufahamu
Wenzio amabo walikua karibu yake zaidi kuliko wewe wameanza kugeuka huko na kukiri kuwa alikurupuka we unasubiri nini?
View attachment 1764297
Mzee alikuwa mwongo hata shetani hamfikkiAlikosea mengi tu, hayana hata idadi, tukianza kuyaandika tutaishia kujaza server za JamiiForums.
Ila kubwa kuliko yote, alikosea kuwa muongo kupita kiasi. Khaaaah yule mzee anahitaji tuzo ya uongo, haki ya mungu.
Makosa yake yanaitesa familia yake sasa hivi hayupo, si kwa madudu aliofanya kuwekwa wazi na matusi anayotolewa Marehemu mzee wao.
Ingekuwa inawezekana kutupia petrol kule alipo ningetupia mapipa ya kutosha akauke vzr kama nyama choma.Jiwe aende kuzimu moja kwa moja bila kupingwa.
Atake asitake tutamwongezea adhabu za jehanamu