Magufuli alikuwa Genius Scientist

Magufuli alikuwa Genius Scientist

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Ushauri wake kuhusu chanjo umeendelea kuwaumbua walio hadaa umma kuwa chanjo ya Corona ni muhimu sana.

Haya sasa visa kadhaa vya watu kuganda damu vimeanza kutokea chanzo kikitajwa kuwa ni chanjo. Tunapo elekea wanasayansi watakuja na chanjo ya kuwazimua wote waliochanjwa ili wasipate madhara.

Genius Magufuli hana baya sema alininyima bandari zenu ila kwasasa nimepewa bure.
 
Mzee wangu alichanja JJ, alianza kulalamika complications zimekuwa mob,pale alipochanjwa palitokea jipu kubwa sana,kupona ilitake time,mpaka Leo ana kovu kubwa.

ilikuwa lazima adungwe juu ya kutravel nje ya nchi.
 
Chanjo imeenda ku-fast track magonjwa makubwa mengi; shinikizo la damu, figo na ini yakiongoza!

Wako vulnerable kwa magonjwa mengi yanayokuja na upepo! Walinzi wao wamelewa.

Niliyoyasikia kutoka kwa watu wa karibu na wote wamegongwa chanjo yanahuzunisha!
 
Walio humu jukwaani waliochanja wanadai tangu wachanje hawapati tena mafua Wala kikohozi Wala homa!!
 
Walio humu jukwaani waliochanja wanadai tangu wachanje hawapati tena mafua Wala kikohozi Wala homa!!
Sio kweli mkuu! Nimechanja pia, najua ninachoongea!

Hawawezi kukubali kuwa walihemkwa, wakaenda na flow kwa ujuaji wa kujifanya wasomi waelewa!

Namlaumu mpumbavu aliyekataa mlungula kunipa cheti!
 
Walio humu jukwaani waliochanja wanadai tangu wachanje hawapati tena mafua Wala kikohozi Wala homa!!
Mimi nimechanja, na juzi juzi hapa ninepata mafua makali sana. Complications za blood clotting nyingi zimetokea kwa waliopiga booster.
 
Yoda pita pande hizi,

Iweje case za blood clotting ziripotiwe time ambayo Corona haipo?
 
Back
Top Bottom