Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Tupo tulio chanja na kweli tuna dalili hizo.Case study ni Mr Ibu au nani?
Ni jinsi unavyolala? Kuna angle ukijiweka inatokea ganziTupo tulio chanja na kweli tuna dalili hizo.
Miwili unalala ukishituka ni Ganzi tupu.
Walio humu jukwaani waliochanja wanadai tangu wachanje hawapati tena mafua Wala kikohozi Wala homa!!Chanjo imeenda ku-fast track magonjwa makubwa mengi; shinikizo la damu, figo na ini yakiongoza!
Wako vulnerable kwa magonjwa mengi yanayokuja na upepo! Walinzi wao wamelewa.
Niliyoyasikia kutoka kwa watu wa karibu na wote wamegongwa chanjo yanahuzunisha!
Sio kweli mkuu! Nimechanja pia, najua ninachoongea!Walio humu jukwaani waliochanja wanadai tangu wachanje hawapati tena mafua Wala kikohozi Wala homa!!
Mimi nimechanja, na juzi juzi hapa ninepata mafua makali sana. Complications za blood clotting nyingi zimetokea kwa waliopiga booster.Walio humu jukwaani waliochanja wanadai tangu wachanje hawapati tena mafua Wala kikohozi Wala homa!!
Kama ni hivyo, tatizo ni kubwa!!!Mimi nimechanja, na juzi juzi hapa ninepata mafua makali sana. Complications za blood clotting nyingi zimetokea kwa waliopiga booster.
Umejihakikishia vipi kuwa chanzo cha hiyo ganzi ni chanjo?!Tupo tulio chanja na kweli tuna dalili hizo.
Miwili unalala ukishituka ni Ganzi tupu.
NaamBlood clotting
Yaani ije Chanjo ya kuzimua Chanjo!!