Magufuli alikuwa mkweli aliposema kuwa nchi hii ni tajiri sana, tatizo ni watawala wetu, ambao hawawezi kupanga vipaumbele vya matumizi

Upo sahihi ila kwa Abduli hebu weka ushahidi wa hayo mabulungutu nasi tushuhudie hayo yasemwayo na wahuni!
Upo sahihi ila kwa Abduli hebu weka ushahidi wa hayo mabulungutu nasi tushuhudie hayo yasemwayo na wahuni!
Siyo jukumu langu kuleta ushahidi, Bali yule aliyetuhumiwa ni wajibu wake kuzikanusha taarifa hizi
 
Lawama zote kwa CCM.....Miradi kibao imegoma. Wakandarasi hawajalipwa ila local contractors eti wamemnunulia Rais ndege.....
Hii utakatishaji magumashi hakuna cha wakandarasi ukweli ni kwamba awamu hii wakandarasi wanapumulia mashine hawajalipwa na haijulikani wanalipwa lini Tanroads iko hoi bin taabani Road fund imehamishwa mafungu na Mwigulu katika miongo 3 haijawahi kutokea hali kama hii halafu nashangaa sana hizi ngonjera za kumsifia sijui waziri wa ujenzi zinatoka wapi ni kwamba watu ni wajinga kiasi hiki? Uchumi umesinyaa kadi hakuna
 
mpaka sasa tungekuwa tunawapa misaada hata u.s.a


a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…