Magufuli aliwahi kumwita Prof. Mbarawa Mpumbavu hadharani

Magufuli aliwahi kumwita Prof. Mbarawa Mpumbavu hadharani

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
743
Reaction score
1,839
Nakumbuka akiwa Tanga kwenye uzinduzi wa matenki ya mafuta Rais Magufuli wakati huo aliwahi kumwita Prof. Makame Mbarawa Mpumbavu.

Maana ya neno mpumbavu ni mtu aliyevuka viwango vya ujinga. Haelimiki wala haambiliki. Ya Dubai Port yamenikumbusha habari hii.

Alipohamishiwa Wizara ya maji kule mtwara Magufuli akamtukana tena baada ya feasibility study ya chujio la maji kuchukua zaidi ya miezi 6.
 
Nakumbuka kwenye ule mkutano wa wafanyabiashara, alipozungumzia sakata la Bandari ya Bagamoyo, alitumia neno gumu sana kwa wale ambao walikuwa na nia ya kuibinafsisha kwa mkataba ule.

Sema nini? Tanzania akili zetu tumeshikiwa!
 
Aise nami nimekumbuka hiyo ya chujio" prof. Kuwa mkali,"
 
Lango ambalo linatizamwa na mizinga ya jeshi Kigamboni na Masaki uongozi wa kisisa wanawakabidhi wageni?
Hao wenye mizinga sijui wamefanywa matoi...This is unwanted kabisa kabisa...Haifai hata kuwaza...Leo sijui kama nitatulia mimi, aise not this far, hii ni zaidi ya hatari!
 
Hiyo Bandari yenu itakuwa lango la kupitisha Silahaa za Magendo kwenda kwa Waasi huko Kongo na Afrika ya Kati. Ngoja waje waingizwe vijana wa Kazi kwenye Scanner line.
Hii fursa ya kupata Bandari ya Dar ilikuwa inapiganiwa sana, sasa deal inakaribia kukamilika...
 
Back
Top Bottom