Magufuli amehubiri injili kama wakina Petro na Yohana

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Ni mwanadamu wa kwanza duniani kuutangazia ulimwengu kipindi cha shida kwamba Mungu yupo na anaponya baada ya akina Petro na Yohana.

Ni mwanadamu wa kwanza duniani kutamka Mungu oyeeeee bila kuogopa alimtangaza Mungu hadharani.

Mungu yupi?? Maana hata shetani ni mungu wa dunia hii soma
2 Timotheo 2:19
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii,
Bwana awajua walio wake.
Na tena,
Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.

Bado unaweweseka tu, pole

Mungu yupi?? Maana hata shetani ni mungu wa dunia hii soma
2 Timotheo 2:19
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii,
Bwana awajua walio wake.
Na tena,
Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.
Mungu oyeeeee

Tstizo alihubiri asichokiishi.
Kiswahili sanifu wanaita unafiki.
Anyway tumwache marehemu apumzike maana hawezi kujitetea tena, nasi tuna dhambi pia.

Ni mwanadamu wa kwanza duniani kuutangazia ulimwengu kipindi cha shida kwamba Mungu yupo na anaponya baada ya akina Petro na Yohana.

Ni mwanadamu wa kwanza duniani kutamka Mungu oyeeeee bila kuogopa alimtangaza Mungu hadharani.
Na ni kiongozi wa kwanza duniani aliyediriki kusimama madhabahuni kuwadhihaki na kuwakejeli wapakwa wa mafuta wa Mungu kuhusu korona. Siku chache baadae Mungu akasema HAPANA IMETOSHA - akashusha pigo!

Jina la BWANA lihimidiwe.

Kama Mungu angekuwa anaponya, angemponya tatizo lake la moyo alilodumu nalo kwa miaka kumi

Uzuri hata jina lake linasadifu.
Mungu ampuzishe kwa amani, raha ya milele ampe na mwanga wa milele amuangazie
Amen.

Na ni kiongozi wa kwanza duniani aliyediriki kusimama madhabahuni kuwadhihaki na kuwakejeli wapakwa wa mafuta wa Mungu kuhusu korona. Siku chache baadae Mungu akasema HAPANA IMETOSHA - akashusha pigo!

Jina la BWANA lihimidiwe.
you are wrong, totally wrong. Wewe ni falsayo

Kama Mungu angekuwa anaponya, angemponya tatizo lake la moyo alilodumu nalo kwa miaka kumi
Mungu hayupo hivyo wewe mwenye akili ndogo, Mungu huwaza mbali. Kuwa unamwabudu si ndio ticket ya kuponywa na matatizo yako. Anaweza kukuacha hivyo hivyo ili uendelee kumtegemea yeye.

Ni mwanadamu wa kwanza duniani kuutangazia ulimwengu kipindi cha shida kwamba Mungu yupo na anaponya baada ya akina Petro na Yohana.

Ni mwanadamu wa kwanza duniani kutamka Mungu oyeeeee bila kuogopa alimtangaza Mungu hadharani.
Unaweza kuwa unamtaja Mungu na kusema niombee, tumtangulize Mungu n.k lakini ukawa una roho mbaya,ya kisasi na unafiki mwingi sana.Kuwa na Mungu matunda tutayaona,hauwezi ukawa unaumiza watu na haujali..

Alijifanya malaika mkamuabudu mpaka mkamkufuru Mungu akashusha hasira yake akafa

Back
Top Bottom