EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Ni mwanadamu wa kwanza duniani kuutangazia ulimwengu kipindi cha shida kwamba Mungu yupo na anaponya baada ya akina Petro na Yohana.
Ni mwanadamu wa kwanza duniani kutamka Mungu oyeeeee bila kuogopa alimtangaza Mungu hadharani.
Mungu oyeeeeeMungu yupi?? Maana hata shetani ni mungu wa dunia hii soma
2 Timotheo 2:19
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, <br>Bwana awajua walio wake. <br>Na tena, <br>Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.
Mungu oyeeeeeeeeBado unaweweseka tu, pole
Na ni kiongozi wa kwanza duniani aliyediriki kusimama madhabahuni kuwadhihaki na kuwakejeli wapakwa wa mafuta wa Mungu kuhusu korona. Siku chache baadae Mungu akasema HAPANA IMETOSHA - akashusha pigo!Ni mwanadamu wa kwanza duniani kuutangazia ulimwengu kipindi cha shida kwamba Mungu yupo na anaponya baada ya akina Petro na Yohana.
Ni mwanadamu wa kwanza duniani kutamka Mungu oyeeeee bila kuogopa alimtangaza Mungu hadharani.
Kama Mungu angekuwa anaponya, angemponya tatizo lake la moyo alilodumu nalo kwa miaka kumiNi mwanadamu wa kwanza duniani kuutangazia ulimwengu kipindi cha shida kwamba Mungu yupo na anaponya baada ya akina Petro na Yohana.
Ni mwanadamu wa kwanza duniani kutamka Mungu oyeeeee bila kuogopa alimtangaza Mungu hadharani.
you are wrong, totally wrong. Wewe ni falsayoNa ni kiongozi wa kwanza duniani aliyediriki kusimama madhabahuni kuwadhihaki na kuwakejeli wapakwa wa mafuta wa Mungu kuhusu korona. Siku chache baadae Mungu akasema HAPANA IMETOSHA - akashusha pigo!
Jina la BWANA lihimidiwe.
Mungu hayupo hivyo wewe mwenye akili ndogo, Mungu huwaza mbali. Kuwa unamwabudu si ndio ticket ya kuponywa na matatizo yako. Anaweza kukuacha hivyo hivyo ili uendelee kumtegemea yeye.Kama Mungu angekuwa anaponya, angemponya tatizo lake la moyo alilodumu nalo kwa miaka kumi
Mungu hataniwi. Ukimdhihaki, anashusha pigo!you are wrong, totally wrong. Wewe ni falsayo
Unaweza kuwa unamtaja Mungu na kusema niombee, tumtangulize Mungu n.k lakini ukawa una roho mbaya,ya kisasi na unafiki mwingi sana.Kuwa na Mungu matunda tutayaona,hauwezi ukawa unaumiza watu na haujali..Ni mwanadamu wa kwanza duniani kuutangazia ulimwengu kipindi cha shida kwamba Mungu yupo na anaponya baada ya akina Petro na Yohana.
Ni mwanadamu wa kwanza duniani kutamka Mungu oyeeeee bila kuogopa alimtangaza Mungu hadharani.
Hivi nawewe unamjua MunguMungu hataniwi. Ukimdhihaki, anashusha pigo!
Hivi nawewe unamjua MunguAlijifanya malaika mkamuabudu mpaka mkamkufuru Mungu akashusha hasira yake akafa
Mungu ni fundi wa yote mbinguni na duniani.Hivi nawewe unamjua Mungu