Wewe kamamda uchwara tumia akili,bajeti kuu ikipita huwa kuna mafungu kama haya. Mnaleta hoja ambazo zinafanya Chadema ionekane haina watu makini.
Zilikwapuliwa na nani? Tumia akili.
Je angeamua kuchukua hiyo bil tano na kwenda Capetown kula bata ungesema ametumia akili nzuri? Kisa katiba inamlinda? Unaibisha chama cha upinzani.Halafu eti kuna watu wanasema kwamba kazi ya urais ni ngumu, na eti ni watu wachache sana wanaiweza. Kwa katiba hii hakuna mtu yoyote mwenye akili timamu atashindwa kuiongoza nchi hii. Katika nchi ambayo rais unaamua chochote na hakuna wa kukuzuia sio sheria wala taasisi, unashindwaje kazi hiyo kwa mfano?
Hizo pesa ni rushwa na zinatolewa kuwarubuni wananchi tuSawa, pamoja na jibu lako, ungejibu maswali niliyouliza ingependeza zaidi.
Hao wananchi wasingeulizia, hizo pesa zilikuwa ziende wapi?
Kwa nini kama hizo pesa zilishatolewa, hazikupelekwa kwa wakati husika?
Wewe kamamda uchwara tumia akili,bajeti kuu ikipita huwa kuna mafungu kama haya. Mnaleta hoja ambazo zinafanya Chadema ionekane haina watu makini.
Zilikwapuliwa na nani? Tumia akili.
Kweli ni jambo jema wananchi wapate barabara, lakini je huo ndo utaratibu wa wa utendaji kazi? Kama pesa zilishatolewa, kwanini hazikupelekwa kwa wakati hadi mtu apigiwe simu adharani na kuambiwa tulishatoapesa?Ni jambo jema!
Je angeamua kuchukua hiyo bil tano na kwenda Capetown kula bata ungesema ametumia akili nzuri? Kisa katiba inamlinda? Unaibisha chama cha upinzani.
Nec wanamuogopa magufuli, overNashangazwa sana mambo haya,Mgombea anatoa maelekezo kipindi hiki cha kampeni[emoji41]?!utafikir yuko kwenye ziara ya kiserekali,NEC wako bize kufuatilia Lissu kasema nini leo,kwa staili hii kukitoa madarakan chama hiki ni ngumu sana
Umejiunga mwezi uliopita na kupewa kazi ambayo wenzako wote wameshindwa, ni ngumu kupambana na ukweli. Naona umejipa jina la ukamanda na nembo ya cdm, kisha unajifanya descipline master wa michango ya wapinzani, kwa taarifa yako haya ujiite Lisu au Mbowe na uweke picha zao, utaishia kutapika hirizi safari hii. Muhuni mkubwa ww.
Yaleyale,tril 1.5 zilithibitika? Kama mimi muhuni powa kamanda.Kama kalamba 1.5t, nini bilioni tano? Muhuni mkubwa ww.
Kama wanamwogopa kuna uchaguz huru apo?!Nec wanamuogopa magufuli, over