britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Habari kubwa toka Kenya Leo Rais Uhuru Kenyata Amelihutubia Bunge la Kenya na kuwaomba Wakenya Wote Msamaha kama aliwakosea katika kipindi Cha Kampeni.
Amedai kuwa kitendo cha kuongea na Raila Odinga ni katika kuileta Kenya Pamoja.
Pichani ni Rais Uhuru akishikana mikono na wabunge wote baada ya kuomba msamaha huo. Msamaha huo umeombwa pia na Makamu wa Raisi Willium Ruto.
Ruto amedai kwa sasa si muda wa kuhubiri ukabila, ukanda, udini wala Rangi bali ni Muda wa kuijenga Kenya. Amedai Wakenya waendelee kushindana kwa Hoja na sio ukabila na Udini.
Britannica