britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Unajifanya unajua siasa...kumbe zero...Rais wa kenya anajielewa. Wa bongo kazi kutetea, mara tuna hela, mara tuna vijana smart, mara tuna viwanda, kila kitu kwake anaona tunacho. Muulize viko wapi sasa, badala ya kuonyeshwa unapelekwa kulala rumande kwa uchochezi. Chupi kabisa.
Unajifanya unajua siasa...kumbe zero...
Siasa unafiki
Siasa haina uadui wa kudumu
Siasa ni kupima upepo
Uhuru anajua bila kupatana Odinga...hawezi kukubalika maeneo fulani
Habari kubwa toka Kenya Leo Rais Uhuru Kenyata Amelihutubia Bunge la Kenya na kuwaomba Wakenya Wote Msamaha kama aliwakosea katika kipindi Cha Kampeni.
Amedai kuwa kitendo cha kuongea na Raila Odinga ni katika kuileta Kenya Pamoja.
Pichani ni Rais Uhuru akishikana mikono na wabunge wote baada ya kuomba msamaha huo. Msamaha huo umeombwa pia na Makamu wa Raisi Willium Ruto.
Ruto amedai kwa sasa si muda wa kuhubiri ukabila, ukanda, udini wala Rangi bali ni Muda wa kuijenga Kenya. Amedai Wakenya waendelee kushindana kwa Hoja na sio ukabila na Udini.
View attachment 763830
Britannica
Kila mtu anapambana na hali yake.....huku kulikua na muungwana Jk watu wakasema anachekacheka na kebehi kibao sa hv zamu ya Pombe acha afanye yakeCall it siasa ila ukweli unabaki palepale Uhuru is better than Pombe, hata kama ni kujionyesha ili akubalike sehemu nyingine bado kafanya kitu pombe hatoweza kukifanya kamwe, pombe akiona hakubaliki sehemu anaanza matusi au vitisho. Full kutumia nguvu 24/7. Kaeni naye pombe wenu awanyooshe nyambafu, na zero yako kaa nayo.
Haya ni mawazo ya maskini mvivu. Mtu anayejua kutafuta anajua umuhimu wa kua na stability serikalini na serikali kutokuingilia mambo private. Sio mnakaa na tako ka makonda anawaambia atawachapa viboko watu wazima na mnamchukulia poa. Kwa mawazo haya utakufa maskini.Kila mtu anapambana na hali yake.....huku kulikua na muungwana Jk watu wakasema anachekacheka na kebehi kibao sa hv zamu ya Pombe acha afanye yake
We mwenyewe maskini ndo mana una bwabwaja tu hapa kama kidume kweli jitokeze uwaambie hao unaowalalamikia sio kukaa kupiga ngonjera tu nyuma ya keyboard... we andika mashairi yako yote ukimaliza lala ila tambua makelele yenu hayazuii kitu matajiri wapo wanasaka noti we pangu pakavu tia mchuzi tu mnazunguka humu na ma stress yenu kama nchi imewashinda ondokeni tu mkae kwa hao mabwana zenu ambao watafanya mnayoyatakaHaya ni mawazo ya maskini mvivu. Mtu anayejua kutafuta anajua umuhimu wa kua na stability serikalini na serikali kutokuingilia mambo private. Sio mnakaa na tako ka makonda anawaambia atawachapa viboko watu wazima na mnamchukulia poa. Kwa mawazo haya utakufa maskini.
Karibu sana mzee. Naona ulijoin jamii forum 2007Huyo ni political strategy ambayo wengi hawatawaelewa. Inaweza kutoa auheni kidogo lakini the damage was done and is too big to repair it.
Kama yuko serious ataepa Wakenya free and fair election 2022. This thing keeps on repeating. People are getting tired. It should come to the end ... It should end!!
Swadaktaa!Kila mtu anapambana na hali yake.....huku kulikua na muungwana Jk watu wakasema anachekacheka na kebehi kibao sa hv zamu ya Pombe acha afanye yake
We mwenyewe maskini ndo mana una bwabwaja tu hapa kama kidume kweli jitokeze uwaambie hao unaowalalamikia sio kukaa kupiga ngonjera tu nyuma ya keyboard... we andika mashairi yako yote ukimaliza lala ila tambua makelele yenu hayazuii kitu matajiri wapo wanasaka noti we pangu pakavu tia mchuzi tu mnazunguka humu na ma stress yenu kama nchi imewashinda ondokeni tu mkae kwa hao mabwana zenu ambao watafanya mnayoyataka
Huwa mijeledi inageukaga unaemchapa sasa kuna siku nae atakuchapa uwe tayari kuaanda vema tako lako vemaWatanzania na waKenya tuko tofauti sana sisi ukiwa mpole mpole kama Jakaya watu watakutukana sana sisi ni mijeledi tu!