Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

Ndio ujue sasa mdahalo ulikuwa na lengo la kumdhalilisha Lowasa. Magufuli hakuwa na access ya maswali huko bbc.
 
We wa wapi wewe?
BBC Swahili inarushwa na StarTv kila siku baada ya taarifa ya Habari ya saa 2 usiku Wazungu wamefika wapi tena.
Wazungu ndio huamua nini wakuoneshe wewe uliyepo Afrika, lengo ni kuendeleza kuwatia hofu na kueneza propaganda za nchi za Magharibi licha ya maasi yao duniani.

Fuatilia mkuu!
 
 

Kiongozi ama mtu yeyote ana uhuru wa kukubali mahojiano ama la. Ana uhuru wa kupendekeza muda na wakati anaoutaka yeye mhojiwa na siyo mwandishi wa Habari peke yake. Lazima BBC inaelewa hilo. Na hata mhojiwa akiwa na sababu yoyote ana uhuru wa kutotoa kibali cha kusailiwa kwa wakati huo. Rais Maghufuli hana cha kuhofia.Yeye ni Rais wa nchi amechaguliwa kihalali, ameapishwa kisheria na sasa anaongoza nchi yake na anafanya vizuri tu. BBC watatafuta muda mzuri na watapata najua wanafahamu taratibu za kumpata Mkuu wa Nchi kwa mahojiano.
 
Reactions: bdo
.Yeye ni Rais wa nchi amechaguliwa kihalali, ameapishwa kisheria na sasa anaongoza nchi yake na anafanya vizuri tu..

Hi imeshakwua overtaken by events. Haya mambo ya mwaka juzi mkuu, wakati wa campaigns
 

Hii taarifa inaweza kuwa na kweli.
Magufuli tangu aingie madarakani hataki kuongea na media si za Bongo wala za Ughaibuni. Ni siku ile tu alipokuwa anatimiza Mwaka Ikulu alipoongea na Wanahabari kwa TAABU SANA HUKU AKIPIGA POROJO BADALA YA KUJIBU MASWALI YA MSINGI. Huu ni udhaifu ambao hata yeye anaujua na ndo maana anawakimbia BBC!!!
Kwa hulka ya JPM bila shaka anahofu kuja kupigwa maswali magumu na kushindwa kuyajibu kwa ufasaha hasa yanayohusu KATIBA, DEMOKRASIA, UPINZANI na JECHA WA JECHA KUFUTA MATOKEO HUKO ZENJ!! Na pengine hii ndo sababu inayomfanya JPM asisafiri kwenda nchi za Nje hasa za Ulaya, Asia na Marekani. Kule kuna Mapaparazi noma sana. Sidahni JPM kama anaweza kuhojiwa kwenye kipindi kinachoitwa HARD TALK!! Anaweza kuchanganyikiwa akajikuta anaongea KISUSWANGLISH(Kisukuma, Swahili na English kwa pamoja!

Hii nayo inaweza kuchukua miaka mpaka kuja kuongea na BBC kwa kisingizio anainyosha nchi!!! Ngoja tusubiri akishakuwa tayari.
 
Shida ni kuwa jamaa huwa anapenda kuandaa maswali.....sasa qmekutana na waandishi wa ukweli....anaogopa
 
Shida ni kuwa jamaa huwa anapenda kuandaa maswali.....sasa qmekutana na waandishi wa ukweli....anaogopa
 
Ha! kumbe ndivyo ilivyo anogopa nini wenda alikua na kazi nzito wakati huo na inabidi wampe taarfa ili apangiwe ratiba.
 

Mkuu hii thread ni ya kabla ya uchaguzi 2015!!
 
Hii thread ya 2015 mkuu!!
 
Kuna haja sasa ya kubadilishana mfumo WA uchaguzi uwekwa Duru tena kuongozwa kwa mijadara ya serq kama Ufaransa Na Marekani
 
Zaidi ya Barabara hakuna kingine anachojua.

Anatuharibia uchumi banaaaa anajua kujenga jenga apate cha juuu.......ni uharibifuuu wa nchu....anaharibu uchumii

Huko BBC ataleta aibu tupu, bora asiende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…