Magufuli Angekuwa hai angewauliza Wahaya jamani , Murburg nayo imeanzia kwa Wahaya? Na Wahaya wangejibu ," NDIWO MAANA SISI NI NSHOMIRE"

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Iko habari inasema mpaka Leo Wahaya 2 wameisha fariki Dunia kwa maradhi ya Murburg na 92 wapo karantini
Nina hakika Mh hati Rais Magufuli Angekuwa hai angewauliza Wahaya kwa Nini maradhi kama haha yaanzie kwakoπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜€
 
Baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchapa kazi, hata hivyo ataongoza kwa kipindi kifupi, ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi,”… Sheikh Yahaya"
 
Huna akili!
 
Baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchapa kazi, hata hivyo ataongoza kwa kipindi kifupi, ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi,”… Sheikh Yahaya"
Majini yalidanganya Baada ya Samia 2030 atakuja Nchimbi na bado CCM ipo sana
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…