nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Mobimba Le Nyeyenye kamshukuru Rais JPM kwa kuokoa maisha yake maana ilibaki dakika 30 tu afe.
Hii inadhihirisha ile kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwamba inabidi hata Mungu amshukuru JPM. Kwa hakika kwa JPM kila goti litapigwa, sote tunashuhudia jinsi mabeberu yanavyohaha kuingia ikulu kujipendekeza na kumpongeza kwa kazi nzuri anayofanya ya KUIMARISHA BIASHARA, MAISHA YA WANANCHI, UMOJA AMANI UPENDO NA MSHIKAMANO na hii tena ya kuokoa maisha ya mtu muhimu kabisa LE MUTUZ ni jambo kubwa sana haswa ukichukulia ya kwamba muda si mrefu atateuliwa kuwa Balozi wa kudumu wa Tanzania huko UN.