Magufuli aondolewa kwenye group la whatsapp la marais wa Afrika Mashariki

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Raisi wetu kipenzi wa Tanzania John Pombe Joseph Magufuli inasemekana kuwa ameondolewa group la whatsapp la maraisi wa afrika mashariki, maraisi hao wameacha kupokea simu zake na kwenye mitandao ya kijamii wamemu-unfollow bila sababu ya msingi.

============================

Source: Entertainment News - East Africa presidents remove Magufuli from their WhatsApp group, refuse to pick his calls
 
wamemuona ni mnafiki kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa Zanzibar na kutaka kushughulikia mgogoro wa Burundi...huu ni unafiki mkubwa

magu hawezi chart kizungu mkuu inakuwa ngumi kutumia account yake mkuu.
swissme
 
kwenye hilo group najua jk bado ni member sababu that is his area of specialty.
 
Atakuwa muda mwingi hayuko hewani kwa kuokoa hela ya kulipia data
 
Ushauri wa kumtoa utakuwa umetolewa na UK na museveni
 
kubomolea watu manyumba yao kunyima Uhuru vyama pinzani kufukuza watu kazini bila mpangilio kukataza tiba mbadala sasa hapo ni kuinua wananchi au kuwarudisha kwenye umasikini mtukufu
 
Uongo ukiandikwa kizungu unakua ukweli,,hebu mleta mada tueleze hilo group wanatumia lugha gani kwanza??
 
kuna watu mtashikwa endeleeni tu
 
Nimependa hapa.....



?He?s not actually calling but flashing and sending ?please call me? text messages in the spirit of cost-cutting! ... that?s why no one?s picking!?
 
Kwanza magufuli hana smartphone ya whatsapp.. Anatumia nokia ya tochi kusave hela.
 
mheshimiwa sio bishoo...whatsapp inampotezea mda tu...akitaka kupata habar atamuuliza msigwa
 
Duh kumbe ni entertainment news, In fact it is real entertaining!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…