Magufuli aondolewa kwenye group la whatsapp la marais wa Afrika Mashariki

Kiingereza ni shida labda maana jamaa hana many political words
 
stupid rubbish kila mtanzania anainjoi utendaji,

wangese tu utawasikia tena wapuuz.

tunajua hatupendi uvunjaji hivyo unaofanywa, tunajua anafanyiwa makusudi. Lukuvi anamfanyia Magufuli makusudi. mwenye palivunjwa? ni bondeni? no hiz ni sabotage.

mabondeni sawa.

wapuuz wa east Africa waachwe hawana jipya
 

Pumbavu zao,wamwache apige kazi mie sijampa kura ila ashanikosha kabisa. Kagame pmbv, Uhuru pmbv, M7 pmbv, Kuruzinza mpuuuzi no moja.
 
Kisa kawasaidia warundi, kama ni kweli hii e.a community ni kuharibiana maana tu ...cast it to hell.
 
Watu bwana,hivi hamjaelewa tu maana halisi ya hiyo article?
Naona jinsi mnavyochangia naona mnatoka nje ya penalty box
 
Magu atakuwa hachangii chochote maana muda huo hana

wamemuona ni mnafiki kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa Zanzibar na kutaka kushughulikia mgogoro wa Burundi...huu ni unafiki mkubwa

magu hawezi chart kizungu mkuu inakuwa ngumi kutumia account yake mkuu.
swissme

kubomolea watu manyumba yao kunyima Uhuru vyama pinzani kufukuza watu kazini bila mpangilio kukataza tiba mbadala sasa hapo ni kuinua wananchi au kuwarudisha kwenye umasikini mtukufu

Hizo zote ni fikra zenu, mwandishi amelenga kufikisha ujumbe mwingine kabisa, angalia picha, chini ya viongozi wa COW ndipo ujumbe ulipo.
 

Attachments

  • Please Call Me.jpg
    26.7 KB · Views: 284
wamemuona ni mnafiki kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa Zanzibar na kutaka kushughulikia mgogoro wa Burundi...huu ni unafiki mkubwa
Umeshasikia kuna wakimbizi Zanzibar? Na unajua adha watu wa kigoma wanapata kutokana na uwepo wa wakimbizi wa Burundi? Yote kwa yote waswali walisema Wazanzibar hujuana kwa vilemba. Wewe hushangai composition ya kamati ya mazungumzo ya Zanzibar?
 
wamemuona ni mnafiki kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa Zanzibar na kutaka kushughulikia mgogoro wa Burundi...huu ni unafiki mkubwa

Mgogoro muanzishe wenyewe kisha mnamtupia gunia la misumari magu kweli laki si pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…