Magufuli aongelea unafiki wa Kenya kwenye media na biashara.

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Magufuli inaonekana yuko radar 24/7. Pia humu kwenye jukwaa la Kenya atakuwa anapitia.
Hii hotuba kaitoa pindi alipokutana na wawekezaji wa viwanda nchini ilikutatua kero zao.
 
Aisee huyu rais wenu bana. Wawekezaji kwenye viwanda vya Tz na Kenya vinahusiana kivipi? Acha aendelee kupa Kenya promo za bure. Nawaonea huruma sana hao wawekezaji.
dangote.JPG
tazs.JPG
 
Magufuli inaonekana yuko radar 24/7. Pia humu kwenye jukwaa la Kenya atakuwa anapitia.
Hii hotuba kaitoa pindi alipokutana na wawekezaji wa viwanda nchini ilikutatua kero zao.

Wanachofanya wenzetu,ni kumwombea jirani njaa lakini haitasaidia kwani namba zao zinasomeka hata ukiwa mbali.
 
Hivi mafuta ya kupikia ya KORIE yanatengenezwa kutoka nchi gani wakuu?

Maana mzee hayataki anataka Mafuta ya alizeti
 
ha! kumbe video ya huyu jamaa😀😀 sipotezi muda wangu ng'o
 
Video yenyewe naona ni ndefu zaidi ya saa moja, muda ambao sina ila nimemskliza dakika chache za mwanzo, sijaona tatizo naona anaongea vizuri tena maneno ya kujenga. Labda amenogewa huko mwisho mwisho na kupoteza network na kuanza madongo dhidi ya Kenya, kitu ambacho ni aibu kwa rais wa nchi kujishusha kwenye level hiyo.
Rais anafaa kuwa mtu ambaye thinking capacity yake haipo Kimanzense Manzese ambayo ni mipasho kila siku.

Halafu la kushangaza, Watanzania walivyo watu wa majungu, kwenye hotuba yote hiyo wamefuata kaeneo ambapo anashambulia Kenya. Ina maana hana lolote lingine na la maana ambalo mnaweza kumskliza na kujifunza, aisei nyie noma hadi huruma.
 
Magufuli inaonekana yuko radar 24/7. Pia humu kwenye jukwaa la Kenya atakuwa anapitia.
Hii hotuba kaitoa pindi alipokutana na wawekezaji wa viwanda nchini ilikutatua kero zao.

ungetuambia sehemu gani in min. i cant listen n watch to the whole clip
 
Video yenyewe naona ni ndefu zaidi ya saa moja, muda ambao sina ila nimemskliza dakika chache za mwanzo, sijaona tatizo naona anaongea vizuri tena maneno ya kujenga. Labda amenogewa huko mwisho mwisho na kupoteza network na kuanza madongo dhidi ya Kenya, kitu ambacho ni aibu kwa rais wa nchi kujishusha kwenye level hiyo.
Rais anafaa kuwa mtu ambaye thinking capacity yake haipo Kimanzense Manzese ambayo ni mipasho kila siku.

Halafu la kushangaza, Watanzania walivyo watu wa majungu, kwenye hotuba yote hiyo wamefuata kaeneo ambapo anashambulia Kenya. Ina maana hana lolote lingine na la maana ambalo mnaweza kumskliza na kujifunza, aisei nyie noma hadi huruma.
Umekurupuka.. Unge sikiliza ndyo utoe povu. Magufuli haja itaja Kenya moja kwa moja amesema chombo cha habari cha nchii jirani kimepotosha kuhusu Dangote cement then aka clarify hiyo issue. Mimi namu unga mkono vyombo vyenu vinapenda sana kupindisha habari za Tz. Humu tumesha litazama sana, Hiki siyo kitu kizuri regulator wenu inabidi ali ingilie kati hili swala Tz haiwezi kufurahia. Kipindi mlivyo chinjana blame ilipelekwa kwenye vyombo vyenu vya habari sasa mna leta choko choko kwa Tz. Madhala yake yamesha anza kuonekana na kwa Magufuli ato sita kusema na kutenda pia.
 
Kwa wale wote ambao wameshindwa kutizama video hiyo hadi tamati. Mukhtasari wenyewe kwa ufupi ndio huu hapa.
tapatalk_1485009502701-jpeg.462300
Juisi na pipi kwa afya njema. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom