Silentobserver007
Member
- Jun 26, 2015
- 69
- 30
Asahau kuingia ikulu hatuwezi kumpeleka ikulu mtu mropokaji na mwenye kujaa mihemko
kiongozi lazima awe na hekima
Eti mafisadi wananiogopa!!!Kwani nchi ina mafisadi wangapi??Nani mwl wa hao anaowaita mafisadi km sio chama chake??
LENGO LETU SIO KUCHAGUA FISADI BALI NI KUIONDOA CCM MADARAKAN NA HILI LIKISHINDIKANA BASI NITAAMINI KABISA MANENO YA MH BEN MKAPA KUWA SISI NI MALOFA,wapumbavu na MAMBUMBUMBU!
Katika orodha ya wenye hekima Lowasa do ndiyo wa mwisho? Kung'ang'ania kuwa rais ni kukosa hekima tena ni dharau na chuki kwa viongozi waliomlea Lowasa na asivyo na hekima akishindwa kwenye kura atakataa na wafuasi wake watasababisha damu imwagike kwani hata sasa wana mihemko na wamekosa busara na ni waropokaji.
Wanamuogopa sana humuoni Lowasa anavyohangaika anajua kiboko wa mafisadi anakuja.
Asahau kuingia ikulu hatuwezi kumpeleka ikulu mtu mropokaji na mwenye kujaa mihemko
kiongozi lazima awe na hekima
haa haa vipi na wale mafisadi waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na zingine kuwapa nyumba ndogo zao wanamuogopa?
Eti masikini mwenzetu na mnyonge mwenzetu - tobaaaa!
Vp kuhusu ufisadi alioufanya yeye wa kununua meli mbovu ya billion 8,vp ufisadi ambao CAG ameouona kwenye wizara yake wa billion 262? Aache ulofa!
Fisadi ni lowasa na kundi lake la mafisadi kama mbowe,mbatia,mtei na wengine alionao kwenye timu yao.
Akisimama na kutamka wazi kwamba ata mshughulikia kikamilifu Rais kikwete na genge lake kwa kulifikisha taifa hapa lilipo fikia leo hii nitampigia kura yangu ya " NDIO"Wanamuogopa sana humuoni Lowasa anavyohangaika anajua kiboko wa mafisadi anakuja.
Nani kakwambia mafisadi wanapendana, wezi hawateteani. Mwizi akikamatwa ni wezi wenzake ndio huwa mstari wa mbele kumpa kisago. Mafisadi nao humuogopa fisadi mwenzao anaposukumiziwa uongozi, hamna la kushangaza hapoMafisadi lazima washughulikiwe kwanza kwa ufisadi wao na pili kwa kutomchagua jembe...ha ha ha
Vyovyote unavyotafsiri lakini Magufuli anawanyoosha mafisadi vilivyoNani kakwambia mafisadi wanapendana, wezi hawateteani. Mwizi akikamatwa ni wezi wenzake ndio huwa mstari wa mbele kumpa kisago. Mafisadi nao humuogopa fisadi mwenzao anaposukumiziwa uongozi, hamna la kushangaza hapo
Ni kweli anawanyosha, ndio maana kwa mara ya kwanza trilioni imeyeyuka hivi hivi under his watch...ni kutesa kwa zamu!Vyovyote unavyotafsiri lakini Magufuli anawanyoosha mafisadi vilivyo