Bado yote hayo ni kwa mujibu wa watetezi wa mafisadi waliokuwa hawapendi aingie madarakani na kuanzisha tuhuma hizo za uongo.Jembe kaingia na amewanyoosha mafisadi vilivyo.
Bado yote hayo ni kwa mujibu wa watetezi wa mafisadi waliokuwa hawapendi aingie madarakani na kuanzisha tuhuma hizo za uongo.Jembe kaingia na amewanyoosha mafisadi vilivyo.
jingalao, jingalao, jingalao...ndugu yangu amka la sivyo utabaki peke yako. Watanzania wamezinduka na ghafla wanaamka na kugundua kwamba tunakoelekea siko. Watu wanamkimbia jiwe ukiacha wachache ambao hata sasa akimkaba mtu hadharani na kumnyonga bado watabaki naye. Hebu cheki hata humu ndani ya JF, idadi yenu inapungua siku hadi siku na mtaani ndio usiseme. Usije ukalalamika hukuonywa, shauri yako.