Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Una nini na mama Mghwira lakini?Upuuzi kabisa ila huyu mama kuna siku nitampa za uso
Huyu mama katuwekea mkosi Act saivi kila tunayemzamini urais lazima akimbieUna nini na mama Mghwira lakini?
Huyu mama ni msaliti in natureHuyu mama anastahili wizara next term.
Huyu mama katuwekea mkosi Act saivi kila tunayemzamini urais lazima akimbie
Ni mkosi wa huyu mama ninae mjua toka kipindi hicho 90's years ihanja singida sio mtu wa kumuamini kihivyo ila juu ya membe ni usaliti kama walikubaliana wapime upepo waone ni nani anakubalika yeye hajaonaa?ππππ mugah di mathew shida sio huyu mama. Shida ni mmiliki wa wa chama chenu. Membe hajakimbia ila zito ndio kamkimbia membe
Fikiria kilichomfanya amchague membe ni nini na kilichomfanya ampotezee ni nini
Mama ana uwezo mkubwa sana katika utawalaHuyu mama anastahili wizara next term.
Unajua was wanasema walikuabaliana wapime upepo ila mimi na wewe hatuwezi kuthibitisha kama kweli kulikua na hayo makubaliano.Ni mkosi wa huyu mama ninae mjua toka kipindi hicho 90's years ihanja singida sio mtu wa kumuamini kihivyo ila juu ya membe ni usaliti kama walikubaliana wapime upepo waone ni nani anakubalika yeye hajaonaa?
Ila hata sisi wanachama tupo nyuma ya Lissu hatumwamini Ccm yeyote hata kama amevaa shati la purpleUnajua was wanasema walikuabaliana wapime upepo ila mimi na wewe hatuwezi kuthibitisha kama kweli kulikua na hayo makubaliano.
Siasa ni mambo mengi mnooo
Ila hata sisi wanachama tupo nyuma ya Lissu hatumwamini Ccm yeyote hata kama amevaa shati la purple
Nyuma ya Ccm na magufuli kuna China akiangalia pembe za ndovu,gesi na tenda za vivuko vya barabara. Pia kuna Egypt akipalilia tenda ya rufiji dam construction huku akiuhujumu mradi wa lake Victoria water supply.Tatizo na tofauti zetu ndio ziko hapo kwenye imaniπ
CHADEMA mnamuona na kumuamini Tundu ila sisi tunawaona kina Amstadamz wakiwa nyuma ya Tundu tena wakiangalia rasilimali zetu kwa uchu wa ajabu
CCM wanamuona na kumuanini John Pombe Magufuli huku nyuma yake wakiona umeme vijiji, barabara, reli, elimu, mahospitali, kilimo bora, viwanda na mengine mema
Nyuma ya Ccm na magufuli kuna China akiangalia pembe za ndovu,gesi na tenda za vivuko vya barabara. Pia kuna Egypt akipalilia tenda ya rufiji dam construction huku akiuhujumu mradi wa lake Victoria water supply...