Magufuli atajwa Sweden, sielewi kisweed wanaojua tusaidie kutafsiri

 
Tusubiri baada miaka mitano au kumi ndo ifanyike tathmini kama hii.kwa wana sayansi na wana statistics kama mm hawajanipata hapa hata ikiandikwa na magazeti ya kambodia au brunei
 
Achana nahuyu mshamba kajua ku copy paste lakini hajui Google Translate na eti ako Stockholm...rudi nyumbani waaibisha wenzako m p u m b a v u mkubwa wewe
 
Achana nahuyu mshamba kajua ku copy paste lakini hajui Google Translate na eti ako Stockholm...rudi nyumbani waaibisha wenzako m p u m b a v u mkubwa wewe
 
Hivi ni lazima ujue wote? We unaonekana mshamba. Dizaini yako ni kama ile iliyoletwa mjini kwa njia ya kwenda kusoma maeneo fulani ya town wakazamia wasirudi kwao. Unaonekana una upolipoli uliopitiliza. Umeanza na kuniuliza umejiunga lini Jf huna aibu. Ili iweje? Ulivyoona hunifiki ukagwaya. Usiwe unavyamia watu kwa namna hiyo utajitia aibu
 
Asanteeee hili jamaa sijui limetokea wapi.
Na kwa vile na mimi ndio mara yangu ya kwanza kumuona hapa JF I don't care either...[emoji12][emoji12]
Nipo muda wote. Huwezi kuniona kwa kuwa Jf imeharibiwa na watu wa Facebook kama ninyi. HALAFU HIVI UPO HAPA ILI UJUE WATU ? And who say I care either. ?
 
Hicho kisweden maana yake ni hivi..wamesema"Rais kasema yeye ni kichaa, tunashangaa kwanini Ubalozi wetu bado haujafungwa!"
 
cc: Pascal Mayalla
 
Kiswahili please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…