Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

Hii ndoto nzuri Sana...
 
Bro acha kujifariji 2015 Lowasa umarufu wake ndo ulipata hizo kura milioni 6. Membe hawezi mfikia Lowasa. Na kwataarifa yako 2015 Membe ndo angelikuwa anagombea CCM then Chadema Lowassa. Mapema sana Lowasa angelichukua Nchi.
Huyu hata kura za Dr.Slaa hatazipata hata nusu yake.Ukanda unaotoa rais hawamfahamu kabisa.
 
Tatizo ni lazima waibe kura, ata iweje CCM atapita,, niliamini kwa asilimia kubwa sana CCM itaondoka madarakani 2015 wakat wa Rowassa lakin haikuwa ivyo. i m disappointed kwakwel
Usiwe unakata tamaa kirahisi
 
Hata mimi limenishangaza naona wanataka kuandaa mashtaka feki.
 
Hata mimi limenishangaza naona wanataka kuandaa mashtaka feki.
 
Gaddafi alikuwa na vyombo vya dola lakini aliburuzwa kwa grader hadi kufa.
 
Wananchi wa Momba walimwambia Silinde aeleze ya Momba maana Flyoover ni mambo ya Dar [emoji23][emoji23][emoji23]
Aliwajibu nini? Anaweza kusema Rais anajenga stiglers hapa hapa Momba
 

Haroo mura,
You made my day today!
Mchango wako umenifurahisha sana brother!
Namsikitikia Jiwe safari hii hafurukuti. Huku Membe, pale Tundu Lissu na kule Sharrif Hamad.......!!!!
Huu muziki Jiwe hatauweza....Kuna hatari nchi ikaingia kwenye vurugu kubwa sana iwapo Jiwe atashindwa Uchaguzi huu huenda akatumia ubabe kubakia Madarakani....!!!
Time gonna tell!
 
Naona umeanza siasa 2020 ungelikuwepo toka enzi za Mkapa na Mrema 1995. Usingelisema haya. Katika watu wepesi katika urais ni Tundulisu huyu akipita atachakazwa sana. Urais sio kama ubunge Mkuu. Hata Membe kaamua kwenda ACT sababu hana option. Siasa is not easy kama unavyofikiri. Magufuli atamalizia mhula wake wa pili vizuri tu . Akina Membe wajipange kwa 2025.
 
Bro usipotoshe polisi anataka majina ya watia nia wa Chadema Wilaya ya Nzega sio Tanzania yote.
Ndo maana nasema watu jukwaani hatuna data sahihi tunashabikia tu ilaukweli tunakuwa hatuna.
Kwa hali hii CCM watashinda kirahisi sana. Maana hasa vijana tunamihemuko mikubwa sana.
 

Ok wanayataka kwa ajili ya nn?
 
Hata kwa Lowassa mulisema maneno kama haya lakini jamaa kamaliza muhula.
Kumbuka Membe ni CCM damu. Ipo siku ataludi alikotoka kama Edward. Matter of time.
Hata Maalim Seif alikuwa CCM haswaa... mbona hajawahi kurudi huko? Na wako wengi tu wanaojulikana na hawajarudi huko...
Angalizo: WAPINZANI HALISI NI WALE HAWAKUPATA KUWA UVCCM, TANU NK. WAPINZANI HALISI WANATAMBULIKA KWA MISIMAMO YAO NA MADHILA WANAYOKUTANA NAYO....
Ukisikia mtu anasema "....ingekuwa ni mimi inhiii...." jua hapo kakutana na jambo kubwa!!
 
Hakuna uchaguzi 2020 wewe wala cha joto,uchaguzi ulikuwa 2015 kama CCM walivuka salama wakati huo sioni wa kukitetemesha.Kwanza hao wapinzania kila mtu anaweka mgombea unategemea CDM hawatasimamisha mgombea uraisi?
 

KAMA VILE HUKO MBALI SANA NA TANZANIA.
Kwanza toka 2015 hakuna siasa ya upinzani iliyofanyika hadharani, maanake nini iko mioyoni mwa watu.
sUBIRI kipyele cha siku 90 za kampeni , tutarudi hapa ku comment.
 
KAMA VILE HUKO MBALI SANA NA TANZANIA.
Kwanza toka 2015 hakuna siasa ya upinzani iliyofanyika hadharani, maanake nini iko mioyoni mwa watu.
sUBIRI kipyele cha siku 90 za kampeni , tutarudi hapa ku comment.
Endelea kupinga mkuu

Lakini hata itadi kubwa wa watia nia kupitia CCM nayo ni kiashiria tosha kuwa kwa sasa CCM inakubalika.

Au watia nia wa vyama vya upinzani wamezuiliwa na serikali kujijokeza kwa wingi!!
 
Hawezi hadi pace maker itaishiwa nguvu subirini. Ona upuuzi wa kujiharishia umeanza


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…