Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

Ni kweli kabisa, wakulima wa korosho na wafanyakazi wanajua anawatoa wapi na kuwapeleka wapi
 
Ule utulivu wa wapinzani kwa miaka mitano ulimfanya akadhani umekufa. It was a domant volcano.
Sure thing. Magui alikosea na anakosea sana kuzuia watu kumkosoa, matokeo yake watu vifua vinajaa hasira na madukuduku ya kutosha, na wanapewa muda mchache wa kuyatoa , huko mbefele mbona atatamani ahame nchi kwa muda, maana kama kuteka na kuua utaua watu wangapi.

Ukosoaji kipindi hiki ni kama hewa ya oksijeni, kama atapoenda atakutana nao.
 
Shida ni kwamba wao ndo wameshika mpini, ata wasipopata kura hata moja watapora ushindi na watakuongoza tu utake usitake[emoji26] so acheni kujifariji kiujumla uchaguzi huu hauna mvuto kabisa.
Sawa. Lakini tusiamini kuwa kila awamu itakuwa ya kuporwa tu. Kila zama zina mwanzo na mwisho wake.
 
Kipindi Zanzibar imezalisha wakimbizi ulikuwa hujazaliwa bila shaka, kama huna taarifa basi elewa kwamba wakati Mkapa anagombea kwa awamu ya pili kulikuwa na matumizi makubwa ya nguvu yaliyopelekea mauaji ya watu kadhaa bara na visiwani.
Na mpk leo kuna wakimbizi wa Zanzibar huko Mombasa.
 
Mzee baba nakwambia kama watu walifikiri 2015 joto lilikua ni kali basi wanajidanganya,hii 2020 ndipo Jamaa atakapojua watu walikua hawamuogopi ila walikua wameinamisha kichwa chini tu.
 
JPM asijue cha kufanya!!
Cha kufanya anacho. Anaweza akawakamata na kuwaweka ndani hao wagombea ktk kituo cha polisi kisichojulikana. Shekhe Ponda hadi leo hajulikani kashikiliwa kituo gani.

Mtu muoga ni hatari kwa ustawi wa nchi.
 
Mzee baba nakwambia kama watu walifikiri 2015 joto lilikua ni kali basi wanajidanganya,hii 2020 ndipo Jamaa atakapojua watu walikua hawamuogopi ila walikua wameinamisha kichwa chini tu.
Nahisi kuna watu watamgeuka
 
Wakati huo huo hana timu ya maana ya Kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…