Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.

Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!
Aisee . . . yaani uchaguzi wa mwaka huu kuna uwezekano watu wakatafutana maana hizo hoja za SGR, STIGLERS, makinikia, ATCL na nyinginezo hazitakuwa za mchezo
 
Nikweli nguvu ya umma siyo mchezo hata hao polisi ni binadamu km siye inawezekana wanaathirika zaidi kuliko wengine muda utakapofika itawezekana tu 'it is never too late in life'
 
Nikweli nguvu ya umma siyo mchezo hata hao polisi ni binadamu km siye inawezekana wanaathirika zaidi kuliko wengine muda utakapofika intawezekana 'it is never too late in life'
Muda ukifika hakuna wakushindana nao
 

Hivi Nape yuko wapi
 
Ndg utashangaa jinsi uchaguzi utakavyokuwa mwepei kama karatasi nimesoma hapo juu polisi wanataka majina ya wagombea wote wa cdm unafikiri ni kwa sababu gani? Kuna uwezekano wagombea wengi wakashindwa kugombea kwa ajili ya kesi au sheria ikawa kwenye jukwaa ukizungumzia miradi una kesi
 
Aisee . . . yaani uchaguzi wa mwaka huu kuna uwezekano watu wakatafutana maana hizo hoja za SGR, STIGLERS, makinikia, ATCL na nyinginezo hazitakuwa za mchezo
Kila mgombea atatupia hizp hizo. Yaani Mbunge wa Kilolo huko iringa ubamuuliza Mh umefanya nini kwenye jimbo lako, anajibu Mh magufuli amejnga Flyover😆😆😆😆
 
Kila mgombea atatupia hizp hizo. Yaani Mbunge wa Kilolo huko iringa ubamuuliza Mh umefanya nini kwenye jimbo lako, anajibu Mh magufuli amejnga Flyover[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Teh teh teh!! Mkulima wa choroko huko Naliendele unamsimulia habari za bombardier
 
Upinzani wa Tanzania ni kupinga ukweli na siyo kupinga yasiyofaa.

Kwa hali ya siasa ilivyo Tanzania hata vyama vyoooote vya upinzani vikiungana havitamshinda JPM.

Chukulia mfano huu rahisi kabisa. Kwa uchaguzi mkuu wa mwaka2015 ilikuwa ni aibu sana kumuona kinana akiishabikia CCM lakini sasa vijana wengi ni wapenzi wakubwa wa CCM.

Si hivyo tu lakini pia kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ilikuwa ni aibu sana kupita mtaani ukiwa umevaa vazi la CCM lakini kwa sasa vazi la CCM ni dili hata ukipita madukani ndiyo linalouzwa sana zaidi ya mavazi mengine ya vyama vingine.

Kwa hiyo uchaguzi wa mwaka huu ni laini sana kwa JPM zaidi ya uchaguzi wa mwaka 2015
 
Tatizo ni lazima waibe kura, ata iweje CCM atapita,, niliamini kwa asilimia kubwa sana CCM itaondoka madarakani 2015 wakat wa Rowassa lakin haikuwa ivyo. i m disappointed kwakwel
 
Si angeamua kupumzika tu.Yanini kutafuta maradhi majukwaani kama yaliyompata Kikwete. Nahisi mheshimiwa raisi kwa sasa amechoka sana japo ni miaka 5 tu.Angewaachia wajanja wengine wakatifuana na yeye akaondoka na ushindi wa vita dhidi ya corona na ujenzi wa vituo vya afya.
 
Wanasiasa na wajanja wa dunia wote lao moja tu... vuta fikra kwa Lowasa ilikuwaje halafu endeleeni kumshangilia Membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…