Magufuli azidi kugonga vichwa vya habari, wenye akili wazidi kumpongeza kwa namna anavyopambana na Corona

MY YAKE; Kwa wale wanaoshikiwa akili na wazungu sidhani kama hii wataelewa.
Sasa huyo jamaa na madevu yake,bishop ni nani hasa,ana sifa gani,CV yake ipoje?Ni dakitari bingwa,Profesa,kasoma wapi,havard,yale,Makerere,?amefanya kipi kikubwa duniani?chombo chenyewe Cha habari ni Cha uchochoroni,ka blog uchwara,Kama jiwe anasema corona na chanjo yake ni sumu,aweke ushahidi,Kama barakoa Zina virusi,aweke ushahidi!sio maneno matupu,kwanza tuambieni ile dawa ya madagascar mliyoileta kwa mbwembwe ipo wapi,mmepiga kimya!
Hii nyungu ya Dr gwajima,hata kuitangaza tujue hamtaki,leteni ushahidi sio porojo,
Na hizi story za kusema kuwatukuza wazungu,wewe angalia hapo getoni kwako,kitu gani hakitoki kwa mabeberu,?TV,radio,cm,taa,jiko la gesi,umeme,mashuka,mpaka vijiti vya meno,hata chupj Zenu,

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Kigogo kasomea wapi?
 
Magufuli hoyeee![emoji38][emoji38][emoji38]
2699255_876521.jpg
Herbal medicine, only stupid can laugh
 
Sijaangalia hiyo..., lakini huwa nashangaa sana watu wanaanza kupongezana kuhusu kuhimili jambo hususan ugonjwa ambao umeua watu... na kujisifu kwamba wameshinda (wakati magonjwa ni vitu ambayo vinaendelea kuwepo) hence tahadhari inatakiwa iwepo continuously (angalau kwa vitu kama Ukoma ila sio ugonjwa ambao bado upo duniani)

How can you win against ugonjwa unaoua (mapambano hayana mwisho) na Corona mortality rate yake ni 5% sasa sijui huku wamekufa wangapi ?

Unavyosifu huyu kwamba ameshinda ni kama kejeli kwa waliofiwa..., hapa hakuna mshindi wala jemadari..., bali mwenye busara ni anayetumia any means necessary kuokoa maisha ya watu (sababu life is precious and priceless) you can not put a dollar sign on it... na gambling on peoples lives is showing irresponsibility to say the least...
 
Kwani tuliposhinda vita dhidi ya IDD Amin hakuna watu waliofiwa na jamaa zao waliokua wanajeshi?
 
Vita vya wanajeshi / au uvamizi ni kujilinda (ingawa vita is a last resort) na kiongozi anayekwenda kwenye vita kama kuna uwezekano wa diplomasia (trigger happy) ni kiongozi dhaifu....

"For to win one hundred victories in one hundred battles is not the acme of skill. To subdue the enemy without fighting is the acme of skill. Hence to fight and conquer in all your battles is not supreme excellence; supreme excellence consists in breaking the enemy's resistance without fighting." - Sun Wu

Huwezi kulinganisha vita ambavyo either unapigana unaokoa wachache au haupigani unaua wote (that will be crazy)

Kwenye vita vya magonjwa majemadari wetu ni watu wa afya ambao inabidi tufuate ushauri wao..., na kiongozi anayetumia any means necessary kuokoa maisha ya watu wake sio wa kubeza bali ni wa kusifia... Ugonjwa huu unaweza ukachukua strategy ya herd immunity watakaokufa na wafe au unaweza ukachukua strategy ya kuokoa as many as possible (even wale vulnerable) kwahio itakuwa ni mambo ya ajabu kuwabeza wale wanaochukua any means necessary kuokoa watu wao (as many as possible)...

In the end vifo viki-subside / vikiisha sababu wale wote ambao walishindwa kuhimili huwezi kusema umeshinda vita...., Ila kama ungeweza kupata chanjo / kuwalinda wale ambao wangekufa mpaka ukipata chanjo (hapo utakuwa umejaribu kila liwezekanalo na unahitaji heko ) sababu there is no price in peoples lives....
 
Sikuelewi point yako ni ipi, huu ugonjwa ni mgeni kabisa, kila nchi inajaribu kupambana kulingana na mazingira ya nchi husika, itakayoibuka kidedea( kama Tanzania katika wimbi la kwanza) ndio itakayokua mfano wa kuigwa, sasa tatizo lipo wapi kwa nchi iliyofanikiwa kumsinda adaui kujipongeza na kufurahia?, kama adui akirudi tena hiyo ni habari ingine, tutapambana upya.
 
Nina mashaka na uelewa wako....

Corona mortality rate yake ni 5%.., kwahio sio kwamba wengine hawapati au sijui Mungu anawapenda baadhi kuliko wengine la hasha...., Ulaya kuna watu wengi (vulnerable ambao wangekuwa Bongo wangeshakufa); kwahio sababu wale vulnerable sababu wapo wengi kule ni kwamba watakufa zaidi...

Kwahio strategy wanazozitumia wao ni kuokoa wengi na uwezo wanao; kwahio wanachokifanya ni kuzuia maambukizi au kuugua wachache kwa wakati mmoja ili taasisi zao zisizidiwe..., kila anayehitaji msaada (aweze kupata)..., Kwahio unataka watu ambao wanao uwezo wa kuwatenga watu (wakati wanatafuta chanjo) ili wale ambao wangeugua wangekufa wasife..., kwamba wakuige wewe ambao hauna uwezo wa kutenga watu ili iweje?

Hakuna mtu ambaye angesema huku pawe na total lockdown (nchi hii haina uwezo huo hata wangetaka) ila kuna vitu vya ambavyo ni basic kuwaambia watu wavifanye kama social distance..., kwa kufanya hivyo huenda badala ya vitanda vyote kujaa hospitali na watu kukosa oxygen wataugua wachache wachache at a time hence wenye kuhitaji msaada zaidi watapata...

Kumbuka ingawa mortality rate ni 5% ila kwa uzembe huenda kuna 5% nyingine ambao wangepona ila kwa kukosa Oxygen nao wakafa....

Narudia nchi na nchi sio like for like na hakuna kushinda bali ni kupambana..., na vifo vingi au vichache (lazima uangalie mazingira ya sehemu husika); hutuwezi kulinganisha kwamba malaria inaua sana kwenye tropics kuliko north pole...., kwahio tuige maisha ya Eskimos....
 
Kaka wacha kupoteza nguvu zako uzungumza maneno mengi ambayo huna elimu nayo, hujui lolote kuhusu Corona zaidi ya kupiga domo tupu.

Mortality rate ya Corona sio 5%, hiyo ni morbidity rate ya Corona ndio 5%, while mortality rate is below 2%. Wacha kuzungumza vitu usivyokua na uwelewa navyo.

Kenya watu walioambukizwa ni Laki moja na kidogo, walikokufa ni kama 1,700, hiyo ni kama 1.7%, pitia na nchi zote utakuta hiyo ndio wastan Wa mortality rate ya Corona, nenda jifunze tofauti kati ya Mortality rate vs Morbidity rate.
 
Unaanza kuhamisha magoli kwahio kati ya 5% na 2% percent ipi ni kubwa ?

Issue ni kwamba Corona haiui sana hivyo hata ukiacha au unayosema watu waige waache watakaokufa wafe, watakaokufa ndio hizo percent sasa kwahio hauwezi kusema umeshinda kitu ambacho kimeua hio percent hata kama ni ndogo, ushindi ni kupigana hao ambao wangekufa hawajafa...

Thus kama percent ni 2% my points are even more valid....
 
Kwanza lengo langu ni kurekebisha tabia yako ya kutumia terminologies usizozijua. Kuanzia sasa wacha kudanganya kwamba mortality rate ya Corona ni 5%, hiyo ni Morbidity rate ya Corona.

Kama umeshajifunza tofauti kati ya mortality rate na morbidity rate tuendelee na point ya Pili, lengo ni kupangua hoja zako moja baada ya nyengine
 
Kwanza kabisa lazima ujue kwamba kuna vyanzo vinasema Corona inaua .5% to 1% ila vyote ni vigumu kupata figure ya ugonjwa ambao kuna percent wanaopata hawajui hata kama wanao, (asymptomatic) na wengine wengi wanakufa kwa Corona vifo vyao vinakuwa unreported bila kujua denominator ni wangapi wameugua ni vigumu kujua wanaokufa kama wengine hawakufa kwa Corona.... (hence the figure might be heavily under-estimated).

Hence tusijikite kwenye percent ya wanaokufa kwa Corona (ambayo ni vigumu kupata 100 percent ni ngapi) ila ya 2% will work even better kwenye argument yangu...., Pia kumbuka percent ya wanaokufa pia inatofautiana kati ya umri, na afya ya watu husika (jambo ambalo ninarudi kule kule kwenye point yangu) itakuwa ni uchizi kwa watu ambao wana-more percent ya vulnerable people uwaambia wafanye kama wewe ambao unao wachache..., pia ni mauaji sababu/kama unao vulnerable people wachache ndio useme bora liende hence kuwatokomeza....

Tujikite kwenye crucial point ingawa ukitaka pia twende kwenye differences ya mortality / morbidity tunaweza kufungua uzi tukaendelea huko
 
Back
Top Bottom