Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Udikteka huwa kama hivi,
Akisema yeye au wao ni sahihi, wakisema wengine ni Uchochezi, na haya maneno ya uchochezi huwa kwenye Serikali za Kidikteta, Dikteta hulitumia hili neno kufanikisha malengo yake,
Siasa hadi leo tunaamini imepigwa marufuku kwa Wapinzani, CCM kwao siasa ipo palepale,
Polepole yupo mikoani anafanya Siasa,
Mpogolo, Shaka sijui na wengine tunawaona wanajitangaza kujenga chama, Ushahidi muulizeni Polepole wale Chadema aliosema watajiunga siku sio nyingi CCM alikuwa anaongea Kisiasa? au kiserikali.
Mfukuze Paka peupe lakini akifika mwisho kukawa hakuna njia ya kukimbilia anakufa na wewe, kuweni makini sana na mnayoyafanya.