barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Habari zenu,
Inasikitisha ila ndio ukweli, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kituo hiki mara ya mwisho nilifika kabla JPM hajafariki, ingawa kilikua hajikakamilika ila kulikua na kurupushani kidogo ukiona wajenzi wanafanya kazi.
Leo nimepita tena ila sijaona mabadiliko yoyote makubwa, kero zile zile bado zipo na pia hata watumiaji na wafanyabiashara wanalalamika kua kituo ni kama kimetelekezwa toka JPM afariki.
Kuna watu wanamuangusha rais Samia makusudi.