Uzushi huu unachosha mno.
Tujaribu kuwa serious kidogo fella!
Dont say 'never', but well it is difficult, b'se he is almost the only one ccm has got!wengine sawa lakini kwa magufuli... haiwezekani!
Acheni kejeli na mizaha. hakuna anayeweza kunywa ile pombe hadi yeye mwenyewe aipoze. Leteni data mpya.
Umenifurahisha kwa tafsiri hiyo!Pombe ni pombe tu. Under the proper circumstances it evaporates. Huyu jamaa mjanja mjanja tu, mkandamizaji na mzulumaji mkubwa. Ni yeye ameanzisha utamaduni wa bomoa bomoa bila fidia na wasomi wengine wakaona anvyofanya hivyo ni vizuri hadi wakamtunukia ile degree ya wakosefu (Honorary Degree). Wananchi wa jimbo lake wanamfahamu vizuri zaidi na huenda ndiyo maana wameimwaga pombe chini, licha ya kujenga kanisa nyumbani kwao kwa hela yake mwenyewe - au labda kwa sababu hiyo!