Pombe ni pombe tu. Under the proper circumstances it evaporates. Huyu jamaa mjanja mjanja tu, mkandamizaji na mzulumaji mkubwa. Ni yeye ameanzisha utamaduni wa bomoa bomoa bila fidia na ndiye aliyefanyaa yale mazingaombwe ya kugeuza nyumba za serkali zikawa "nyumba zao!"
Na wasomi wengine wakaona anavyofanya hivyo ni vizuri hadi wakamtunukia ile degree ya wakosefu (Honorary Degree)! Ni wazi kuwa Wananchi wa jimbo lake wanamfahamu vizuri zaidi na huenda ndiyo maana wameimwaga pombe chini, licha ya kujenga kanisa nyumbani kwao kwa hela yake mwenyewe - au labda kwa sababu hiyo!
Habari zaidi za Pombe hizi hapa:
Magufuli: Shujaa au Mjanja kama wengine? from the KLH News (Kijijini Leo Hii) podcast