Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Thubutuu!! Piga Mpini mmoja tu anarudi kulala.Kumfufua itakua jambo la kheri zaidi
Acha kufuru Sky Eclat....Kumfufua itakua jambo la kheri zaidi
Ubinadamu ni bora Sana Komredi....Thubutuu!! Piga Mpini mmoja tu anarudi kulala.
Kama ulivyowafufua wazazi wako.Kumfufua itakua jambo la kheri zaidi
π³Kumfufua itakua jambo la kheri zaidi
Hilo eneo liitwe jina jingine, huyu alipojua anakaribia kufa, akawa anavamia Kila sehemu anaita jina lake, mara stendi ya mbezi, daraja huko mwanza, mara mji wa serikali, kumuita magufuli city ni kama kuufananisha na Mali yake binafsiMagufuli City ni mji wa kiserikali ulio kilomita 17.5 Kutoka Dodoma Mjini.
Mji huu umebuniwa na Hayati Kipenzi Chetu Rais Magufuli ili uwe wa ofisi za serikali na BALOZI ZA NCHI MBALIMBALI.
Baada ya uamuzi wa KUHAMISHIA WIZARA ZA NCHI jijini DODOMA na kuendelea na kazi mjini huko basi utastaajabu uzuri wa ofisi hizo ambazo zinaonekana kuwa BORA ,NZURI ,NDOGO na zilizojengwa kwa GHARAMA NAFUU.
Eneo hilo ndiko zitapojengwa OFISI BALOZI ZA NCHI ZOTE ambazo ZITAZIDI KUIONGEZEA DODOMA UCHUMI MKUBWA NA FURSA TOFAUTI.
*****************************
WITO WANGU.
Wakazi wa Dodoma ni fursa ADHIMU kwenu KUENDELEA kuongeza KASI YA KUSOMESHA WATOTO NA VIJANA WENU ili waendane na KASI YA UKUAJI WA JIJI LA DODOMA ambako WATAALAMU WA AINA MBALIMBALI na wabunifu wa BIASHARA Watakuwa na SOKO KUBWA huko MBELENI in shaa Allah.
MWENDA ZAKE HAYATI MAGUFULI ataendelea KUBAKI MIOYONI MWETU KWA MIAKA MINGI kutokana na MAONO YAKE YA *DHAHABU NA UTHUBUTU WENYE UTEKELEZAJI KUNTU.
#SiempreCCM
#Hasta la Victoria Tanzania
#KAZIINAENDELEA
View attachment 1785755
View attachment 1785756
View attachment 1785757
View attachment 1785759
View attachment 1785760
Mbona tutalala chatle nusu mwaka!akifufuka RAIA wenyewe lazima watamkimbia
ππππππ Akawa Anatoa Jina Lake TuHilo eneo liitwe jina jingine, huyu alipojua anakaribia kufa, akawa anavamia Kila sehemu anaita jina lake, mara stendi ya mbezi, daraja huko mwanza, mara mji wa serikali, kumuita magufuli city ni kama kuufananisha na Mali yake binafsi
Madison WI....Rais wa US James MadisonHilo eneo liitwe jina jingine, huyu alipojua anakaribia kufa, akawa anavamia Kila sehemu anaita jina lake, mara stendi ya mbezi, daraja huko mwanza, mara mji wa serikali, kumuita magufuli city ni kama kuufananisha na Mali yake binafsi