Magufuli Deserves to Chair the Move to Protect the African Resources

Uhuru huwaga hakosi mikutano kama hiyo..amefanya nini so far? zaidi ya kukopa ili kulipa madeni!! Au huwa ana enda anakunywa vitu vyake naku jibamba
Hajui Magufuli ndiyo story ya Afrika. Kama anabisha amuulize PLO Lumumba.
 
Africa lazima iwe scrambled kwa namna yoyote ile ,huyo Magu kwani ndio kafanya nini?

Kama kujilinda tuu unategemea vifaa vya wazungu sasa huko ndiko kujilinda? Kim wa Korea Kaskazini ndio mwamba hasa
 
Africa lazima iwe scrambled kwa namna yoyote ile ,huyo Magu kwani ndio kafanya nini?

Kama kujilinda tuu unategemea vifaa vya wazungu sasa huko ndiko kujilinda? Kim wa Korea Kaskazini ndio mwamba hasa

Tunapaswa kujitambua, wachina wameweza kwa nini sisi tusiwezeee!!!?
 
Wee ni aina ya watu hata kujua duniani nini kinaendelea na jisi gani tutakoka kwenye makucha haya wala hujui. Wewe ukijilia ugali wako na bamia, huna la zaidi unaenda zako kujilalia.
[emoji14] [emoji14] πŸ˜›
Kunywa tiba asili ama ukufe kama magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…