Magufuli gombea urais ......

Status
Not open for further replies.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Kuna haja ya kumpendekeza magufu agombee.
Tumechoshwa na watu kama kikwete ambao kwao cha maana ni safari za ughaibuni kila kukicha, huku wakiacha wazawa wenye hali duni tukifa na kutopea kwenye wimbi la ufukara.
 
Kuna haja ya kumpendekeza magufu agombee.
Tumechoshwa na watu kama kikwete ambao kwao cha maana ni safari za ughaibuni kila kukicha, huku wakiacha wazawa wenye hali duni tukifa na kutopea kwenye wimbi la ufukara.

Tatizo hana mtandao wa kumsaidia kuingia Ikulu.
 
Tunataka raisi asiye na mtandao.
Mitandao ndio imetufikisha hapa, raisi hana kauli.
Anashindwa kuwachukulia hatua mafisadi.
Hii ni aibu kwetu na vizazi vyetu vijavyo.
 
Anatamani sana ila mwili unakuwa mzitooooo...Madhara ya mfumo wao dume katika chama na serikali unaosisitiza kulindanaaa..

Katika kundi lake wamo pia Prof Mwandosya, Sumaye, Dk Kigoda, Dk Salimu (kwa kuhimizwaa zaidi sio nafsi yake kwa sasa), Sita, nk..Wanajitambua wanamzidi sana aliyeko kwa nyanja mbali mbali ila uthubutu wa kupambana naye kidemokrasia kwa sasa hawana.
 
Ndani ya CCM kwa yeye kugombea mwaka huu ni vigumu, maana kuna kale katabia ka kusema "amalize miaka 10". Ila kama watapitisha mgombea binafsi tutamchangia TZS 1.0 mil za kuchukua fomu ya uraisi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…