Magufuli huna chako walimu wanachokitaka si laptops, bali "teaching allowance"

Kigundu

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
79
Reaction score
24
Huwezi kutoa ahadi ya kuwanunulia walimu laptops wakati unatambua mazingira yao wengi hawana umeme hata wa jua. Karibuni
 
Ndo ujue sasa, ma ccm hawajui matatizo ya taifa hili! mwl anapeleka wapi laptop wakati kulipa bill ya umeme, kuweka bundle ya internet kunamtoa jasho! Mwenye njaa mpe chakula, mwenye kiu mpe maji na si vinginevyo!
 
Ahadi hiyo imetolewa wapi?na eleza vizuri ueleweke yeye ni Waziri wa ujenzi inakuaje anawasemea walimu?na kama hukuwepo wakati anasema weka Source ya story yako aisee!
 
Mkuu ungehoji kwanza huo uzi maana nauona umakaa kishabiki tu, kaandika kama anakimbizwa daaaa!
 
Ukione ivo ujue kifo cha mende CCM wameishiwa sera unawapatia vp ivo vi2 ili hali asilmia kubwa ya nchi hii hakuna umeme huo ni upopompo
 
Hi hii naona sasa wanaanza kutoa ahadi za mhe. za 2010 za mabomba ya maji kutoa maziwa,
Ama kweli sasa wanaogelea kwenye maji yaliyowazidi
 
Ahadi hiyo imetolewa wapi?na eleza vizuri ueleweke yeye ni Waziri wa ujenzi inakuaje anawasemea walimu?na kama hukuwepo wakati anasema weka Source ya story yako aisee!

Peleka ujinga huko Huna adabu gamba ww hujamsikia akisema
 
Inamaana kwa kauli kama hizo alizo zitoa makufuri anaweza kuwa ni mtu mmoja muhuni na ni tapeli sana
Hizi kauli huwa nasikiaga kwa watu ambao wameisha tapeliwa. Unakuta aliahidiwa vitu vingi sana
 
wewe unamzungumzia nani?mbona hueleweki?
 
Back
Top Bottom