Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #201
Mkuu Jidu, hakuna mood swings, ile ni ongea yetu sisi makabila ya wafugaji.Mkuu tunamkubali Magufuli sana tu kwa maendeleo ya kishindo.
Tatizo ni pale anapopata serious mood swings na watu kuambulia matusi.
Hata wiki haijapita.
Niambie kwa mfano, hapo umoja na mshikamano unaupataje?
Mkuu that would be difficult to convince aliyekuwa insulted nationwide.Mkuu Jidu, hakuna mood swings, ile ni ongea yetu sisi makabila ya wafugaji.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!
Wanabodi Declaration of Interest. Mimi Paskali Mayalla, au kwa jina maarufu humu, Pasco wa JF ni Musukuma wa Mujini, aliyezaliwa mujini, kukulia mujini, kusomea mujini na kuishi mujini, ila nature ni ili ile ya Wasukuma, roho nzuri, kupenda sana, ukarimu mwingi, kujituma sana, uchapakazi...www.jamiiforums.com
P
Tokomeza Ziro....Ukweli huu unazidi kuthibitika as days go by, this man is changing for the better kuelekea kwenye direction ya kuwa the best
P
Wanabodi, naomba isome kwa makini hiyo quote,
Tukiwaambia rais Magufuli ni mtu msikivu, mwenye huruma, upendo wa kweli na upendo wa dhati, kuna watu humu walikuwa hawaamini.
Naamini by now wengi mmeishasikia rais Magufuli ametangaza nini.
Kiukweli kwa tangazo hili, rais Magufuli atabarikiwa sana, na Tanzania pia itabarikiwa, amini usiamini, this man might end up being the best president this country had ever had.
Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.
Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
50mii zilikuwa Zako? Au ziliandikwa kwenye Ilana, iliyoandikwe na Wassira ?. Amezitumia kujengwa hospital na Zahanati. Kukarabati MashuleHana Jipya yule Jamaa! Kiki tu za msimu. mkumbushe bado hatujasahau zile ML50 zetu
Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
P
Mkuu mbona hiki kitu kinakusumbua sana? Unahofia nini? Kama watanzania wanamtaka iwe hivyo kwani nini wasiandamane kudai katiba ibadilishwe? Si ndiyo demokrasia yenyewe hiyo ambayo mnaipigia kelele kila wakati?This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
Why kifanyike sasa?, kuna haraka gani?. Kwa sasa rais Magufuli bado anayo miaka mingine mitano ya 2020-2025, hivyo muda muafaka ukifika, process muafaka ndio zitafanyika!.Swali langu linakuwa, kwanini sasa kitendo hiki cha kumwongezea mda Rais kisifanyike kama wananchi na wana Taifa wenyewe wakaridhia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa tutaona umuhim wake akisjamaliza kipindi chake.Anatufaa sanaMkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
P
damn right, hakuna kiongozi asiyefanya makosa, swala anayarekebisha kivipi along the way...We are moving in the right direction, we will get there, kama tukimpa ushirikiano...Wanabodi,
Angalizo
Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli ananapofanya jambo zuri, au jambo jema, wao wanakasirika, hivyo rais Magufuli akipongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote, wao wananuna, wanaumia, wanakasirika kwa sababu wanatamani ashindwe ili wakosoe. Ukimpongeza tuu rais Magufuli kwa lolote, utawasikia kuwa huku sii kupongeza bali ni kujikomba kuusaka u-DC, au mara hizi ni njaa tuu za jina la Mayalla!!. Kama wewe ni mtu wa kundi hili, nakuomba uishie hapa ili nisije kukuharibia siku yako.
Sina Chama na Sitafuti Uteuzi.
Naomba kusisitiza kuwa mimi Paskali, sina chama wala sisaki uteuzi wowote, ningekuwa msaka uteuzi, ningeusaka zamani tangu enzi za Ben, maana mtoto wake ni class mate wangu darasa moja kwa miaka 4!. Ningekuwa msaka uteuzi, ningeusaka enzi za JK, maana Riz1, ni collage mate pale UD tena ni rafiki. Ningekuwa msaka uteuzi kwa Magufuli, ingekuwa siku nyingi nimeishaula, kwa taarifa yenu, kila nikisafiri kuelekea mitaa ya kule Biharamulo au Chato kikazi, nafikia kwa Magufuli!. Nandelea kusisitiza, kwa kipindi hiki chote ambacho mimi ni mwanahabari, sina chama. Ila mwakani ninastaafu uandishi wa habari na nitajiunga CCM, sasa siku mkisikia nimeshajiunga CCM, halafu bado uteuzi ukanipitia mbali, hapo ndipo mtakuwa na haki kunituhumu kuusaka uteuzi, lakini mtu asiye na chama kumtuhumiwa kuusaka uteuzi, sio kumtendea haki!. Mimi siku zote ni mkweli daima, siegemei upande wowote, na nazidi kuusitiza ule wito wangu wa kwenye mazuri tupongeze, kwenye mapungufu tukosoe na tushauri na kwenye mabaya ndipo tulaumu na kulaani, bandiko hili ni la pongezi.
As days goes by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.
Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimeguswa na hutuba ile na nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia kuhusu, uzalendo, kuwa wakweli na kusisitiza maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutokea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.
Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama. Kama tulimlaumu rais Magufuli kutumia state platforms kufanya siasa za CCM ikiwemo kupokea wanachama wapya, na leo amesema wazi, hatumii mikutano ya kiserikali kuigeuza ya CCM, ni jambo jema.
Kutumia shughuli za kiserikali kupokea wanachama wapya wa CCM was wrong. Katika bandiko hili,
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums nilisema
Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali yake kila inapoboronga, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia zaidi kubadilika, changing for the better, kuliko wanaomsifia!.
Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale uwanja wa Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulilipinga humu, na leo limezaa matunda.
Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba!.
Mabadiliko haya ya mkuu wa nchi changing for the better ni very healthy kwa nchi yetu. Huwezi kujua, huenda hata ule uvunjaji wa katiba kuzuia mikutano ya siasa, soon nao pia utasitishwa only if kama atabaini, it was not right, it is wrong kuzuia jambo lililoruhusiwa na katiba ya nchi, kwa sababu rais wetu amezuia mikutano hiyo kwa nia njema kabisa, bila ya yeye kutambua kuwa hana mamlaka hayo aliodhani anayo, na wasaidizi wake wanaolijua hili, wamenyamaza tuu na kumuangalia. Rais Magufuli naye ni binaadam na sio malaika hivyo hawezi kujua kila kitu ndio maana ana wasaidizi!.
Tuendelee kumuombea rais Magufuli, Mungu azidi kumlinda na kumuongoza vema kuitawala vema nchi yetu, mnaweza msiamini, anaweza kuamua kuifumua Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC na kuunda tume huru zaidi ya Uchaguzi ambayo itakuwa inclusive!, kama ameweza kumchukua Prof. Kitila, na yule mama wa ACT, na kuwaingiza kwenye serikali yake, atashindwa nini kuifumua NEC ili uchaguzi wa 2020, uwe uchaguzi huru na wa haki kiukweli kweli!.
Nimemuona akihutubia kwa humility na genuinity, hivyo mnaweza kushangaa akasimamia haki na kuhakikisha ofisi ya DPP inatenda haki kweli na haki hiyo ikaonekana inatendeka, hivyo wote wanaoozea kwenye mahabusu za nchi hii wengine kwa zaidi ya miaka 7 kama wakili Medium Mwale, na wale wanaozea Keko, Ukonga, Segerea na mahabusu nyingine kama kina Harry Kitilya, Sioi Sumari, Shose Sinare, Isaack Kasanga, Gonzaga, James Rugemalila, Jamal Malinzi, Peter Noni, Dr Ringo Tenga, wale Ma Sheikh wa Uamsho na wengine wengi, wanatendewa haki, na haki kuonekana inatendeka!. Kuna watu wanaoshitakiwa kwa makosa ambayo ukikutwa na hatia adhabu yake ni kifungo cha mwaka mmoja jela, lakini mtu yuko mahabusu mwaka wa 7 sasa na kesi haijaanza kusikilizwa!, huu ni uchunguzi gani ambao haukamiliki, na hii ni haki ya aina gani inayocheleweshwa?!.
Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kiondolewe!.
Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.
Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Rejea
Rais Magufuli Akifanya Mazuri, Apongezwe: Hotuba Yake Kuzima Mwenge, Ni One of The Best! - JamiiForums
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!. - JamiiForums
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!. - JamiiForums
Kwenye hoja hii, nasisitiza tuendelee kumuombea rais Magufuli hili alione!.Wanabodi,
Tuendelee kumuombea rais Magufuli, Mungu azidi kumlinda na kumuongoza vema kuitawala vema nchi yetu, mnaweza msiamini, anaweza kuamua kuifumua Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC na kuunda tume huru zaidi ya Uchaguzi ambayo itakuwa inclusive!, kama ameweza kumchukua Prof. Kitila, na yule mama wa ACT, na kuwaingiza kwenye serikali yake, atashindwa nini kuifumua NEC ili uchaguzi wa 2020, uwe uchaguzi huru na wa haki kiukweli kweli!.
Kwenye hoja hii, nasisitiza tuendelee kumuombea rais Magufuli hili alione!.
P
Wanabodi,

Mkuu Makanyaga, nasimamia maneno yangu, kwa bahati mbaya sio wengi wenye kumbukumbu of keeping track of JPM anasema nini halafu anakuja kufanya nini.@Pascal Mayalla
About this tittle of your post:
"Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!."
I'm worried that you sometimes, have a tendency of undermining people you respect, possibly without your knowledge. Something to get better, must initially have been in a bad state. Does your little for this post try to convey the same meaning? It's putty that when the majority of the people have all the notion that JPM is the best President, currently thriving for being one of few " Excellent Presidents", in the world, you are rating him as thriving for the better, meaning that he is bad at the moment. I'm therefore being worried that probably your rating for him has not been good. Good luck
CCM kwenda upinzani ni mkutano upi sasa?akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutokea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.
Hiyo namba 1 uliyoitaja hapo juu, unatakiwa uifanyie kazi halafu unipe mrejesho. Nakuaminia sana lakini naona na wewe pia ulipitwa safari hii. Ifanyie kazi hiyo ujue ni kwa nini! JPM yuko sahihi 100% katika hilo, lifanyie kazi halafu utagundua ni kwa nini nasema hivyo!Mkuu Makanyaga, nasimamia maneno yangu, kwa bahati mbaya sio wengi wenye kumbukumbu of keeping track of JPM anasema nini halafu anakuja kufanya nini.
Nitakupa mifano michache
Hiyo ni mifano michache ya mabadiliko chanya kwa rais wetu, he is changing for the better, and as times goes by, hata hili la udikiteta nalo litakwishwa na kuiendesha utawala wa ki authoritarian pia kutakwishwa, tutakwenda kwenye Democracy, transparency and the rule of law.
- Ile siku anazindua Bunge alisema tusimtegemee atateua wapinzani, lakini akaja kuwateua Anna Mngwira na Prof. Kitila kutoka upinzani na hata Dr. Slaa hajarudi CCM labda kama amejiunga kimya kimya.
- Aliwahi kuitaka China iwanyonge Watanzania wote waliohukumiwa kunyongwa kwa mihadarati, lakini hajawahi kusaini death warrant hata moja zilizojaa mezani kwake na likely hata saini mfungwa yoyote kunyongwa.
- Aliwahi kutaka wafungwa wahenyeshwe kisawasawa, wapate mateso na wajute, lakini hakuna rais wa Tanzania aliyesamehe wafungwa wengi kama rais Magufuli, amesamehe hadi wabakaji na waliohukumiwa vifo wakati msamaha huo wa rais huwa hauhusiki.
- Alianza kwa tumbua tumbua za papara na masifa, tena nyingine mbele ya kadamnasi ya watu, lakini sasa tumbua tumbua zinafanywa kwa staha, tena wengine waliopaswa kutumbuliwa kwa ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma, aliyeibua ufisadi huo anabembelezwa asiendelee kuibua na kulazimishwa wapatane na kiongozi aliyemripoti kwa ufisadi na wasipopatana watatumbuliwa wote!.
- Mwanzo alikuwa anajichanganya kati ya Magufuli rais wa nchi na Magufuli Mwenyekiti wa CCM, kwa kutumia shughuli za kiserikali kama ile ya kutoa kamisheni kwa wanajeshi wetu, kupokea wanachama wapya wa CCM, vikao vya CCM vilifanyika Ikulu. Sasa ametenganisha, shughuli za chama na serikali, vikao vya CCM vinafanyikia Lumumba, shughuli za kiserikali hapokei wanachama wapya kutoka upinzani.
- Mwanzoni karibu kila akihutubia alikuwa anagomba, anatoa amri, anazungumza yeye tuu, lakini tumeshuhudia akiita makundi mbalimbali Ikulu na kuwasikiliza, kusemezana na kuhutubia kwa humility na friendly tone not the commanding tone.
- Mwanzo alikuwa akihutubia, anahutubia kibabe na alikuwa akitoa maagizo na kufanya ziara za kushtukiza huku anagomba kama nyapara, sasa hili halifanyiki, mwanzo he was a ruler ruling, now he is leader leading.
- Mwanzo alikuwa anawafokea watendaji live on camera, sasa kufokea viongozi kumeisha, hadi madudu kama ya Kangi Lugora rais anampa muda wa kutosha kujiuzulu mwenyewe alipogoma ndipo akatumbuliwa.
- Zamani rais akisikia kitu tuu bila hata kusikiliza ilikuwaje, mfano alipomtumbua Anne Kilango au kumfuta kazi Katibu tawala wa Mwanza, Dr. Faisal, baadae aliujua ukweli akarekebisha kimya kimya kwa kumpooza Kilango kwa ubunge wa kuteuliwa.
- Kulipotokea tetemeko la Bukoba, rais alikuwa afanye ziara ya Zambia, hakutoa tamko lolote la pole kwa mdomo wake, wala kutembelea eneo la tukio na kusema kwani tetemeko kalisababusha yeye. Sasa kukitokea majanga, rais ndio wa kwanza kutoa pole na katika ziara zake, anatembea na mabulungutu ya fedha ambazo anazigawa.
P
Bado ni wa hovyo tu kikichobadilika ni matukio mapya na siyo hayo uliyoyaoridhesha ! Hawezi badilika. Dawa ni NEC/CC ya CCM itakapo pitisha kalamu. Watu hawaamini lakini subiri August 2020.Mkuu Makanyaga, nasimamia maneno yangu, kwa bahati mbaya sio wengi wenye kumbukumbu of keeping track of JPM anasema nini halafu anakuja kufanya nini.