Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

Sasa mwambie na Ndugai anavunja katiba kwa kuwalinda Covid-19, si wewe ni muwazi? Nasubiri kuona kipimo cha kujipendekeza kwako!
 
Sasa mwambie na Ndugai anavunja katiba kwa kuwalinda Covid-19, si wewe ni muwazi? Nasubiri kuona kipimo cha kujipendekeza kwako!
Mkuu chikambabatu , jf ndio the only ni user generated Forum, inayotumia the maximum freedom of expression, kila mtu, yuko free kumwambia mtu yoyote, chochote, kama Mhe. Job Ndugai anavunja katiba, be free kumwambia, na sio kutuma member mwingine akuambilie!. Mwambie tuu, atasikia!.
P
 
Ni lini ulisema alikuwa worse hadi leo useme ,he is getting better.
Unatakiwa kuhojiwa unamaanisha nini hasa
P
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuoga rasmi.
Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Bado ni wa hovyo tu kikichobadilika ni matukio mapya na siyo hayo uliyoyaoridhesha ! Hawezi badilika. Dawa ni NEC/CC ya CCM itakapo pitisha kalamu. Watu hawaamini lakini subiri August 2020.
Aliweza ku cheat NEC ya CCM Ila ameshindwa ku-cheat COVID 19
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Katika bandiko hili la mwezi April, 2016, kuna mstari nilizungumzia kitu kinachoitwa karma ya watumbuliwa ambao hawakutumbuliwa kwa haki.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali.
 
Kuna watu wanaoenda kupinga kila kitu kwao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri.
Mkuu Kamundu , hii ni hoja ya msingi sana!. Naunga mkono hoja na sisi wengine tulianza nayo toka enzi za JPM.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…