MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Habari wadau
Huu ni ukweli mchungu
1. Magufuli kaikuta Air Tanzania ikiwa haina ndege hata 1. Ila kaifufua na kainunulia ndege za kutosha
2. Magufuli kakuta shirika la reli TRC linaelekea kujifia.. kalifufua kwa kuliwekezea ma trilioni ya hela na kafosi kujenga reli ya SGR na kawanunulia treni ya umeme.
3. Magufuli kakuta Tanesco ikielekea kufa madeni kibao huku haina uwezo wa kuzalisha umeme. Inategemea umeme wa kuuziwa kwa bei na gharama za kifisadi na kina Songas, inagine Tanesco anauzwa unit moja ya umeme kwa shilingi 900 halafu anaenda kuuzia wananchi unit moja kwa shilingi 350. Hasara tupu
Magufili kafosi kajenga bwawa leo hiii Tanesco imepata umeme 2100 megawatt za kutosha kuwasha nchi nzima
Binafsi nawashangaa sana wafanyakazi wa haya mashirika wanaomchukia magufuli.