field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Hotuba ya Magufuli ilikuwa ya hovyo, very controversial and contradictory...Nimeshangazwa na jinsi alivyokuwa akijichanganya.
Mwanzo Upimaji nchini Tanzania ulisimamishwa kwa kisingizio kuwa wakipima wengi wanakuwa positive...Je mtoto wake rais ni katika hao False positive, kama rais anaamini mtoto ni positive iweje wengine wasiwe positive?
Kwa vile upimaji ulishapigwa marufuku, je mtoto wa Magufuli alipimiwa wapi??? na baada ya kupona ni vipimo gani vilimthibitisha hana hao virus? Please be mindful that there is no testing which is taking place in Tanzania at this moment. HAPO
AMETUACHA MIDOMO WAZI!
Kama mtoto wake alipimwa akajulikana ana tatizo...kwanini anazuia watanzania wengine wasipimwe na kupewa matibabu? Hata matibabu ya hayo mitishamba kama aliyotumia mwanawe?
Kuhusu dawa ya Madagascar, mbona rais hakuiongelea? Tuliambiwa dawa imepatikana na Kabudi akainywa ya kwake tukaambiwa mbili zimebaki za rais kugawa yeye....Je aliitumia pia kumtibia mtoto wake? Siyo mbaya tukijua kama ilifanya kazi vizuri.
Magufuli amedanganya kuwa hawezi kufunga mipaka kwa sababu uchumi utakufa, anaelewa kabisa kuwa ufungaji wa mipaka hauhusu malori na mizigo inayopita kwenda jirani...Hata mipaka ingefungwa sukari ingeletwa tu kwa malori. Kinachokatazwa ni movement of people na siyo muda wote bali mambo yakirejea kawaida wanafungua.
Ndiyo utashughulikia na mambo ya nyumba yako lakini kunakuwa na misimamo ya pamoja kwa sababu magonjwa ya milipuko hayana na hayajui mipaka, hivyo wakati wenzetu wanaweka mikakati (Strategies) rais wetu anaenda tofauti, anadanganya watanzania kwa sababu hawajali hata wakifa...Magufuli anatumia nguvu nyingi kupingana na ukweli. Kwanini anapenda kwenda tofauti na viongozi wengine.
Mwenyezi Mungu hajasikiliza sala la Magufuli wala za serikali, kipindi cha maombi feki, watu wengi wamefariki kwa CORONA ikiwemo na wabunge watatu....angetubu labda na kuwa muadilifu tungeweza kusema Mungu analilinda Taifa.
Anachoshindwa kujua ni kuwa Urais ni taasisi, siyo kitu cha binafsi au ubunge, hata ubunge nao unatakiwa wakati wa bunge uwe DODOMA, Lakini yeye kahamia kwake, tunamuona makanisani tu, wiki ya nane sasa....Ni lini ikulu imehamia Chato? Kama ni hivyo basi ingekuwa ni vyema kusiwe na Ikulu, hivyo kila rais aongoze nchi kutoka katika kijiji chake.
Mwisho, Rais wetu ni denier wa ugonjwa, amekataza wasipime na kutoa majibu, wakati watanzania wengi wapo kwenye hospitali ambazo hajazitaja kama Mount Meru, Sokoine etc etc wengi kwa mamia kama si maelfu acha wale wanaougulia nyumbani. HAKUNA UPIMAJI, JE UTAJUAJE KUWA UGONJWA UMEPUNGUA WAKATI INCUBATION YA UGONJWA NI SIKU 14? Magufuli ni tatizo, nia yake si nzuri kwa nchi na kwa wananchi wa Tanzania.