maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
ama kwa hakika magufuli ataweka historia mpya na vijana watafurahi sana maana wema sepetu ni role model wa maana
hakuna shaka cheo cha naibu waziri wa mambo ya nje atapewa mwanadada huyu ambaye alikuwa kampeni meneja wa mama samia suluhu
God bless Tanzania😛oa