We kweli ni maatope kama ana nyota kali si ingemuwezesha kipindi alipogombea Singida ??wema ana nyota kali ,akipata unaibu waziri mambo ya nje tutapata misaada mingi sana,halfu ni role model ambaye wasichana wengi wanamfatisha mambo yake kwa hiyo itakuwa inspiration kubwa sana,huoni hata mama samia alimtegemea sana yeye kwenye kampeni??
Akimteua wema inabd aanzshe na wizara ya ngono na utamu
wema ana nyota kali ,akipata unaibu waziri mambo ya nje tutapata misaada mingi sana,halfu ni role model ambaye wasichana wengi wanamfatisha mambo yake kwa hiyo itakuwa inspiration kubwa sana,huoni hata mama samia alimtegemea sana yeye kwenye kampeni??
Kwi kwi kwiiiii
Mbona vipodozi havijauza hata alipoweka seli nusu bei
Hadi kaenda mahala kaambiwa vya uvunguni havina nguvu vinakumaliza ni Mungu tu ndie juu ya vyoteeee. Huyo kaenda kutoa misaada kwa watoto natumaini ni kwa roho nyeupe na sio sharti la kuvutia watu wanunue vitu vyake.
Amefulia kabisa mfano mbaya wa wasichana kuufata.